Bilionea kumkabili Putin katika urais Urusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bilionea kumkabili Putin katika urais Urusi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Dec 13, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Bilionea mkubwa nchini Urusi ametangaza kukabiliana na Vladimir Putin katika uchaguzi mkuu wa rais wa mwaka ujao. Mikhail Prokhorov amesema ataunda chama kipya cha siasa ambacho kitawalenga watu wa kawaida nchini Urusi. Tajiri huo anamiliki timu ya basketbali New Jersey Net, pamoja na biashara kubwa zinazomfanya ashike nafasi ya tatu kwa utajiri nchini humo. wakati huohuo, waziri wa zamani wa fedha Alexei Kudrin ametoa wito wa kuundwa kwa chama cha kipya huru baada ya kutokea maandamano makubwa ya kupinga serikali, kutokana na tuhuma za wizi wa kura katika uchaguzi wa bunge uliofanyika mapema mwezi huu.
   
Loading...