Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawachukulia wanaomtuhumu mh EL kwa wizi na ufisadi kama wanaigiza COMEDY flani hivi....Siwezi kuamini bila kuona wala kushuhudia. Siwezi kushutumu na kutoa hukumu kwa maneno ya wahuni wa kwenye...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
CHAMA CHA CUF, walijisahau sana baada ya kufanya ndoa ya mkeka kwa serikali huko zanzibari ,lakini huwezi kufanya urafiki na nyau paka shume ujue iposiku atakurarua tu ,waliwacheka chadema wenzao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mteja wa Airtel kwa muda mrefu sasa tangu wakati wa celtel. Kuna mambo yanayonikera sana. Ukipiga simu wakati mwingine unaambiwa salio lako halitoshelezi hata kama una salio la tsh.1000...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nifuraha ilioje kwa serikali kufikia uamuzi wa kuongeza speed au pakage zitumike kwa mawasiliano ambayo kwa muda mwingi tumekuwa tukipoteza hasa muda ,sasa tutapata vitu vingi kupitia njia hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau naomba kuelimishwa pale ninaposikia gharama za maisha kuwa juu hasa dodoma,maana nataka kulinganisha na sehemu nyingine ya jamhuri yetu.Maana ukianza na Arusha watu wanasema ule mji ni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Happy Birthday `Tanganyika`, you have weathered so many storms By Editor 11th December 2011 On December 9, this year, finally about 44 plus million people from Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tumezid kusahau mambo ya msingi punde tu mambo mengine yanapojitokeza,wale wanyama wetu waliopakizwa na ndege ya qatar vip wamerudishwa au bado?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Men what is happenning with Precisionair flights today, most of us are stranded with only one reason "Operational reasons" what does operational stand for ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nikiwa nimewasili mkoani Mtwara nimekutana na tangazo kwenye station ijulikanayo kama Mtwara cable kwamba kuna tiba ya UKIMWI na malazi mengine huko Msijute nje kidogo ya mji wa mtwara na namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa za uhakika toka kwa alikuwa mfanyakazi wa Upatu ni kwamba Mzee Stephen Kakete ambaye alikuwa mkugenzi a?efariki leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda..inasemekana msiba upp tabata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mda mchache uliopita nimeangalia total cost ya simu nilizopiga kwa the last 3 years, nimegundua nimeliwa kama Noah 1 na nusu ivi, wakati sina uwezo wa kununua, na hapo ni mtandao mmoja tu. Hii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania sasa ni miaka 50 ya uhuru tumesha sherehekea na tarehe 12/12/2011 ndio waziri mkuu alitia hitimisho ya maadhimisho ya kusherehekea ila kuna kit2kimoja nataka niulize ivi hizi sherehe ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kasheshe usiku huu. Ni za nini tena na nimesikia wamepata boom leo? Magari yavunjwa vioo! Nielewesheni kisa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napata tabu sana ninapoona viongozi wengi hapa nchini na kote duniani wakisimama kudai kwamba wanawake ndiyo wazalishaji wakuu wa familia na kwamba wanaume huwa wanatumia pia mapato hayo yaliyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nimewamis saaaana Lakini leo nimekuja na habari njema ya taarifa ya kuanza mgao wa umeme :flame: tuliouzoea :juggle: kama una hela za kutosha kanunue umeme wa kutosha kama una ndoo kubwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni huko Iringa. Mama mmoja na familia yake ya watoto kadhaa waliandaa karamu ya chakula cha sumu kwa lengo la kujiua kutokana na ahadi ya Dr. Dr. Dr. Dr. Luten. Kanali. Mheshiwa. Mr. Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sisi wakazi wa Posta tunashangazwa na ubovu wa mipango miji ulioko Posta. NHC wako bize kujenga maghorofa wao na wabia wao yasiyo na mahegesho ya kutosha. Fikiria jengo la ghorofa 11 lina...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
tanesco hivi ndivyo mmeanzia kukusanya malipo ya dowans? siku ya ijumaa siku ambayo tulikuwa tunaanzimisha miaka 50 ya uhuru. tanesco waliingia mitaani na kuanza kukata kata umeme katika majumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SONG MR-PRESIDENT ARTIST R.O.M.A PRODUCER J-RIDER + YUDDI STUDIO TONGWE RECORDS CONTACTS R.O.M.A- 0717-72007_? romabraq@yahoo.com INTRO By…..Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ikulu ni mahali...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe Polisi wamkamata Mbowe, ahaojiwa na kuachiwa Mbunge wa Hai (Chadema), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jana alishikiliwa na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Back
Top Bottom