Riziwani atoa maneno mazito kuhusu chama chake..bila chenga

Riziwani atoa maneno mazito kuhusu chama chake..bila chenga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,685
379461_10150516041753792_211320898791_10705491_1192261859_n.jpg Millard Ayo alipomtembelea Riziwai hivi leo. Milllar anaandika hivi..................
nikiwa na RIDHIWANI KIKWETE nyumbani kwake leo, tumezungumza mengi ambapo pia amezungumzia KAULI NZITO zinazokikosoa chama chake cha pamoja na kuwatolea maneno ya kashfa ikiwemo kuwatukana baadhi ya viongozi wa chama hicho... kesho ataamlfy EXCLUSIVE kwenye AMPLIFAYA ya CLOUD'S FM, saa1 usiku mpaka 3. karibu mtu wangu wa nguvu! kama utamiss hiyo stori nitaiweka kwenye Official – Millard Ayo Website kesho usiku baada ya show!
Official – Millard Ayo Website
 
Ntasikiliza huku nikilisongesha na ngoma ya izzo b-Barua
 
Ntakuwa napata kesto lait mida hiyo
mwizi tuu asitubabaishe
porojo apeleke
vijiwe vya kahawa
 
tusikimbie tatizo...inabidi tumsikilize kasema nini ..al in all hawa ndio wanaokula nchi ..inabidi tujue wanasemaje..mkisusa wenzio wala
 
tusikimbie tatizo...inabidi tumsikilize kasema nini ..al in all hawa ndio wanaokula nchi ..inabidi tujue wanasemaje..mkisusa wenzio wala
Tangu ubadilishe Avatar yako na kuiondowa ile ya Simba naona ID yako ni kama iko on hire to somebody else, lakini sio yule ninaemfahamu mimi tangu akiitwa Ivuga mpaka Saint Ivuga. i don't know whats happening to u.
 
kusikiliza na kumpigia mtu makofi ni vitu viwili tofauti.note mkuu...
 
huyu riz1 kitambi
Hizo ACCT mpaka nje ya nchi, hayo masemi trailer, hivyo vtuo vya mafuta anavizungumziaje?????????? Majumba maghorofa mengi kuanzia Dar hadi Arusha nasikia ni ya Riz 1 Anayasemaje au sio yake?????????

tusikimbie tatizo...inabidi tumsikilize kasema nini ..al in all hawa ndio wanaokula nchi ..inabidi tujue wanasemaje..mkisusa wenzio wala

hv ww st. Ivuga nilikuwa nakuheshimu ile mbaya ila kwa hili la kucctza tumckilze riz1 kwa lipi? Kama nani? Ana mamlaka gani ndani ya nchi hii? Neno lake litatoa/ saidia nn, ktk kutatua matatzo ya nchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom