mkongo wa taifa kuanza kutumia

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
nifuraha ilioje kwa serikali kufikia uamuzi wa kuongeza speed au pakage zitumike kwa mawasiliano ambayo kwa muda mwingi tumekuwa tukipoteza hasa muda ,sasa tutapata vitu vingi kupitia njia hii rahisi .changamoto iliyopo ni ulizi dhidi ya watu wasioeleweka wanaoharibu tuulinde kwa nguvu zote wana jf hatuwezi kuwasiliana bila njia kama hii
 
Hujajipanga. Umekurupuka. Mbona baadhi ya maeneo mkongo ulishaanza kutumika kitambo? As end user nivigumu ku realize kama unatumia mkongo au la na amini usiamini gharama za internet hazitashuka kivilee. Pia matunda ya mkongo in terms of kuongeza ufanisi wa serikali na taasisi zake, hayataonekana kwa siku za hivi karibuni kwani hazijajipanga kutake advantage ya hayo mambo.
 
nifuraha ilioje kwa serikali kufikia uamuzi wa kuongeza speed au pakage zitumike kwa mawasiliano ambayo kwa muda mwingi tumekuwa tukipoteza hasa muda ,sasa tutapata vitu vingi kupitia njia hii rahisi .changamoto iliyopo ni ulizi dhidi ya watu wasioeleweka wanaoharibu tuulinde kwa nguvu zote wana jf hatuwezi kuwasiliana bila njia kama hii

...mkuu taharifa yako inaonekana ni nzuri na yenye kutia matumain lakini sija-kuelewa vizuri,ebu kajipange upya uletee taharifa kamili,hii uliyoleta inasomeka nusu nusu,nimeshidwa kukuelewa au kama kuna mwenye ufaham zaidi atudadavulie...
 
Back
Top Bottom