Tibaijuka mipango miji aanzie Posta kusikokuwa na mahegesho

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Kwa sisi wakazi wa Posta tunashangazwa na ubovu wa mipango miji ulioko Posta. NHC wako bize kujenga maghorofa wao na wabia wao yasiyo na mahegesho ya kutosha. Fikiria jengo la ghorofa 11 lina mahegesho ya magari 20 tu! wakati huo huo mtaa ni mfupi lakini bado kuna majengo marefu yasiyokuwa na mahegesho yanaendelea kujengwa! La ajabu Tiba is busy talking about Sinza wakati hapa Posta anapofanya kazi masaa 9 haoni. Yu wapi Mkurugenzi wa wiliya Ilala na waandisi wake? ambao ofisi yake ipo hapa hapa Posta (Jiji). Au ndo 'kula mezani pake'. Mbaya zaidi ni NPS wako bize kutia oini magari yaliyokosa parking je, hii si unyanyasaji kwa wa TZ? Kosa hapa ni la nani ni mwananchi au mwenye dhamana (Tibaijuka)? Kwa kutojali huku iko siko Posta itakuwa haiingiliki. Source: mtaa wa India, kaluta, Indira gandhi, Asia, n.k
 
wanatumiaga masaburi ..kwani hujui? wanafanay kitu kama kina maslahi kwao na watoto wao tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom