Gharama za Simu Kidogo Ziniue!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Mda mchache uliopita nimeangalia total cost ya simu nilizopiga kwa the last 3 years, nimegundua nimeliwa kama Noah 1 na nusu ivi, wakati sina uwezo wa kununua, na hapo ni mtandao mmoja tu.

Hii ni halali kweli? Mitandao ya simu kwanini mnatufanya kinyume na maumbile ivi?
 
Hii idea ya sh 1 na recharge vouchers zenye denominations ndogo zinatufanya wehu
 
Back
Top Bottom