Nini viashiria vya maisha kupanda hasa Dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini viashiria vya maisha kupanda hasa Dodoma?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kubingwa, Dec 10, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wadau naomba kuelimishwa pale ninaposikia gharama za maisha kuwa juu hasa dodoma,maana nataka kulinganisha na sehemu nyingine ya jamhuri yetu.Maana ukianza na Arusha watu wanasema ule mji ni balaa,sasa sielewi wanaangalia vitu gani,tafadhali ni kuelimishwa tu na sio mashambulizi.
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wewe unaishi mji gani kwa sasa?
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,126
  Trophy Points: 280
  Dododa ni capital city so lazima maisha yawe juu kuliko sehemu nyingine
   
 4. m

  mr analysis Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nan kakudanganya capital city lazima yawe magumu.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  bei ya kunnua machangudoa imepandishwa kwa hiyo wabunge wanashindwa kuafford.
   
 6. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Niko Runzewe,Kahama
   
 7. b

  buswe Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bei ya chakula inakuwa juu, Kodi za nyumba juu, nauli za mabasi juu, ada za shule juu kulika kipato cha wakaazi wa mkoa husika.
   
 8. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mbona maisha ni magumu sehemu zote!!
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama ni hivyo buswe mbona karibu nchi yote ya tanzania ni hivyo iweje baadhi ya maeneo tu na raia wengine je?
   
 10. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Bei ya vyumba vya guest imepanda. By Makinda
   
 11. b

  buswe Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jibu analo mwanamke spika wa kwanza Tanzania. Haya ndiyo matokeo ya kangalia jinsi badala ya ubora wa kiongozi.
   
 12. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Katika miji ambayo kwa sasa ina bahati ya bidhaa kupanda taratibu ni Dodoma. Isipokuwa kwa siku za usoni gharama za maisha zimepanda kutokana na ongezeko la watu hasa wanavyuo wanaozidi kujazana kila siku. Hata hivyo kwa sasa mfumuko wa bei upo nchi nzima si Dodoma tu.
   
 13. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Kweli wewe bikira wa kiume..........
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Je, gharama ya maisha yakionekana kupanda huko jijini Dodoma kama ambavyo wabunge wetu wa CUF na CCM walivyoonekana kutuaminisha hivi majuzi, sasa hali utakua inafanana vipi kwa vijana wasio na ajira jijini Dar es Salaam?:shock:
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ongezeko la machangudoa,wale high kilasiki wanaotoka na warbunge
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna mahali ambako wakaz wake hawalalamiki vitu kuwa Juu?tuanze na dar,ambako x nying media huwahoj RAIA
   
Loading...