Wale wanyama wetu waliopelekwa uarabun vip wamerudishwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wanyama wetu waliopelekwa uarabun vip wamerudishwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Money Stunna, Dec 13, 2011.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Tanzania tumezid kusahau mambo ya msingi punde tu mambo mengine yanapojitokeza,wale wanyama wetu waliopakizwa na ndege ya qatar vip wamerudishwa au bado?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,480
  Likes Received: 81,772
  Trophy Points: 280
  Kuna hata mtu wa kufuatilia basi!!! walikuwa busy wanachora mchoro wa kukupua mabilioni kupitia mgongo wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
   
Loading...