TANESCO, hivi ndivyo mmeanzia kukusanya malipo ya DOWANS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO, hivi ndivyo mmeanzia kukusanya malipo ya DOWANS?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slave, Dec 12, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  tanesco hivi ndivyo mmeanzia kukusanya malipo ya dowans?

  siku ya ijumaa siku ambayo tulikuwa tunaanzimisha miaka 50 ya uhuru.
  tanesco waliingia mitaani na kuanza kukata kata umeme katika majumba ya watu.
  moja ya nyumba iliyokatiwa ni ile niliyopanga mie.
  tangu ijumaa mpaka leo jumatatu tumekwa katika wakati mgumu sana ki uchumi.
  ukizingatia kazi yangu mimi inategemea umeme naweza kusema katika nyumba hiyo mimi ndie muasilika mkuu

  kutokana na hilo leo asubuhi nimekwenda tanesco kulikuwa na watu wengi sana ambao nao wana kesi kama yetu na kuuliza sababu za ukwatwaji wa umeme
  nilianzia kwa installation inspector.
  maelezo aliyo nipa yalinichanganya sana eti hiyo nyuma ina chumba kimoja kiliongezeka bila wao tanesco kufahamishwa.
  kwakuwa mimi ndie msimamizi wa hiyo nyumba nilitoa docomentiambazo wakatai hicho chumba kinajengewa umeme.
  tulichukua fomu tanesco addition form ambayo ina mpa fulsa mteja kuongeza matumizi yoyote katika nyumba
  baada ya kumbana sana alinipiga chenga na kuniambia niende kwa meneja, hata yeye baada ya kumwambia nae alinipiga teke kwa mhasibu.
  kifupi mpaka natoka ofisi ya tanesco sijafahamu nani anae husika na sakata hili la ukataji umeme.ila kuna jamaa yangu anafanya kazi hapo tanesco aliniambia
  kwamba agizo hilo limetoka juu.

  sasa jee? au ndo wameanza kukusanya pesa za kuilipa hiyo dowans ?

  kuna baadhi ya niliyowakuta hapo tanesco wanasema wao wameambiwa faini ya laki sita.
   
 2. l

  luckman JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kimsingi guys are really frastruted, they dont know their destiny, govnt has got no money, we unadhani wakoje???mi sijui lakini suluhu la haya matatizo labda serikali ikae pembeni lakini tukiendelea na mfumo huu uliofail kwa kila angle, sitegemei makubwa zaidi ni matatizo zaidi ya haya!
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkuu saa hii ndo natoka tanesco kuna watu wengi wanaofuatilia umeme ili warudishiwe wenye hela zao wanalipa na kwenda kuwashiwa.upande wangu mie nimebembeleza nipunguziwe mpaka wamenifanyia 240,000 kama faini ya kuongeza matumizi kisha nikisha lipa.niombe mita ingine ambayo nayo itagarimu zaidi ya 450,000 .
   
Loading...