Huu usemi kuwa wanawake ndiyo wazalishaji wakuu uko sawa?

Surabaya

Member
Nov 25, 2011
14
0
Napata tabu sana ninapoona viongozi wengi hapa nchini na kote duniani wakisimama kudai kwamba wanawake ndiyo wazalishaji wakuu wa familia na kwamba wanaume huwa wanatumia pia mapato hayo yaliyo letwa na wanawake vibaya kwa kwenda kunywea pombe na anasa mbali mbali, sijuwi wao hizi takwimu wanazipataje maana naona katika mazingira tunayo ishi wanaume ndiyo wazalishaji wakuu na pia hutunza familia zao bila tabu na hata ukiangalia nyingi zinalelewa na wanaume au jamani hizi zaweza kuwa ni kampeni tu!
 
Back
Top Bottom