Hizi kero za Airtel zitakwisha lini?

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Mimi ni mteja wa Airtel kwa muda mrefu sasa tangu wakati wa celtel. Kuna mambo yanayonikera sana. Ukipiga simu wakati mwingine unaambiwa salio lako halitoshelezi hata kama una salio la tsh.1000. Au ukimpigia mtu unaambiwa namba unayopiga haipo. Wakati mwingine ukimpigia mtu, wewe mpigiaji unasikia kabisa simu inaita. Lakini anayepigiwa simu yake haiiti imetulia tu. Network nayo ni problem. Hizi kero zitakwisha lini? Au nihame!
 
Ni kweli hizi kero zipo, lakin huwezi linganisha na zilizoko huko Tigo nk. Kwa hiyo usihame Airtel
 
Mimi ni mteja wa Airtel kwa muda mrefu sasa tangu wakati wa celtel. Kuna mambo yanayonikera sana. Ukipiga simu wakati mwingine unaambiwa salio lako halitoshelezi hata kama una salio la tsh.1000. Au ukimpigia mtu unaambiwa namba unayopiga haipo. Wakati mwingine ukimpigia mtu, wewe mpigiaji unasikia kabisa simu inaita. Lakini anayepigiwa simu yake haiiti imetulia tu. Network nayo ni problem. Hizi kero zitakwisha lini? Au nihame!

...hamia Airtel
 
Hawa jamaa wamenikata hela zangu halafu hawajanipa bundle,nimepga customer care mpaka nimechoka,wamekuwa wezi sana,nyambafu kabsa.
 
QoS:

The Quality of Service (QoS) refers to the capability of a network to offer a service with a certain quality. The quality of a service can be related to a number of different parameters. Much used parameters are:

Availability of a link;

Number of bit errors;

Latency (delay in the network);

Jitter.(Variation/Deviation of packets/signal cause by congestion,routes change etc)

Which parameter is of importance depends on the service. For example, voice and video services require low latency but tolerate some error rate. By contrast, generic data applications can not tolerate error, but latency is not critical.

Kwahyo,Je availabilty ya link kwetu ipo safi? Links nyingi zinatumia Microwaves Dish sasa hapa ni mgogoro maana ni rahisi sana kuwa affected(RX Level,ipepo,mvua,bad weather etc)

Nawasilisha.
 
Hiyo si kwa airtel pekee. Nina mtandao wa voda takribani wiki mbili zilizopita, simu yangu nikipiga ilikuwa haitoki. Na niliwasiliana na huduma kwa wateja, wamenirekebishia. Lakini hata hivyo niki recharge muda wa maongezi, natumiwa ujumbe unaosomeka "mpendwa mteja, ombi lako linashughulikiwa. Utatumiwwa ujumbe baada ya muda mfupi. Asante kwa kuchagua voda com." then "invalid request" yaani full magumashi. Sijui tukimbilie wapi sasa!
 
2kimbilie Zantel mkuu,mimi mwenyewe wananiboa sana cku hizi nikininunua bundle la 2500 wanani2100 sms gani za ajabu na cjaunganishwa mwezi wa 2 sasa,cmu haiko hewani ila ukipiga inaita kama na wakati mwingine iko hewani ukipiga unaambiwa haiko hewani kama sio uchonganishi ni kì2 gani
 
Back
Top Bottom