Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Nusura Yateketeze Familia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Nusura Yateketeze Familia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Dec 12, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Ni huko Iringa. Mama mmoja na familia yake ya watoto kadhaa waliandaa karamu ya chakula cha sumu kwa lengo la kujiua kutokana na ahadi ya Dr. Dr. Dr. Dr. Luten. Kanali. Mheshiwa. Mr. Jakaya Khalfan Baba Rizone Miraji Kikwete kushindwa kutimia.

  Mungu nusuru watu hawa hawakufa. Na baada ya kutiwa nguvuni na vyombo vya dola vya ccm, mama huyu akatonya ukweli kuwa sababu ya yeye kufanya hivyo ni juu ya maisha kuendelea kuwa magumu kila uchao na kurejea kauli tata ya Baba Riz ya maisha bora kuwa imeshindwa kutimia kwake na hivo anadhani hakuna tumaini tena. S

  ource: Tabia yangu ya kupenda kuskiza Radio. Leo nimeskiza tena. Na kesho ntaskiza.
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kijiji gani mkubwa?Si wauze zile Tshirt na kofia za ccm walizopewa mwaka jana wagange njaa!
   
Loading...