Dah !! Hiii kali niloona

HAOMAR

Member
Nov 30, 2011
16
0
Tanzania sasa ni miaka 50 ya uhuru tumesha sherehekea na tarehe 12/12/2011 ndio waziri mkuu alitia hitimisho ya maadhimisho ya kusherehekea
ila kuna kit2kimoja nataka niulize ivi hizi sherehe ni za watamzania (watanzania ) au za wana ccm ?
 
Nadhani ni za wana ccm 7bu baada ya wanyonyaji wakoloni kuondoka waliwaachia ccm waendelee kutunyonya kwakushirikiana nao kwahiyo ccm wanasheherekea kwakufaidi rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom