MGAO UNAANZA SOOON: Vuna umeme wa kutosha; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MGAO UNAANZA SOOON: Vuna umeme wa kutosha;

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Dec 12, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  WanaJF nimewamis saaaana

  Lakini leo nimekuja na habari njema ya taarifa ya kuanza mgao wa umeme :flame:
  tuliouzoea :juggle: kama una hela za kutosha kanunue umeme wa kutosha
  kama una ndoo kubwa tunza umeme wako
  :washing:
  Habari ndo hiyo nawatakia cku njema
   
 2. D

  Danniair JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanx bro
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,792
  Likes Received: 83,168
  Trophy Points: 280

  Mhhhh!....Tumethubutu, Tumeweza na tunasonga mbele!!!!!:shock::shock::shock:
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nami nilikumiss sana, karibu tena. Likizo ya mwaka mpya unaianza lini?
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  wewe bila shaka utakuwa ni mwehu... :flame:
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Teknolojia ya kuvuna please!.... Wengine wageni mji huu
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Huyo sio mwehu, anaongea kile anachokijuwa huu umeme tuliachiwa tu tusheherekee miaka 50 ya Tanganyika halafu turudishwe tena kwenye ujima. nchi imeshauzwa hii stuka!
   
Loading...