Cuf kuvuana magamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf kuvuana magamba?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amina Thomas, Dec 14, 2011.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jana nilimsikia Julius mtatiro akisema kua hawawezi kumwachia Hamad Rashid kuleta vurugu ndani ya chama chao cuf! Na hivyo wanaJindaa kumwadhibu. Jamani cuf na nyie mnataka kuvuana magamba? Source: clouds tv news usiku
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Mtatiro hii jeuri anaitoa wapi na yeye ni mchanga sana kwenye hicho chama?
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa magamba yao laini ni mepesi kuvuka.
   
 4. ngamiamzee

  ngamiamzee JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa watu kwaninin wasiende kugombani kwao pemba wanatafuta nini Tanganyika wao
  huku tannganyika sio kwao wanakuja kuleta fujo za nini waende wete pemba wakakatane
  mapanga na majembe huku bara hatutaki fujo zao za kuchinjana
   
 5. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hamad Rashid anaiogopa Pemba kuliko anavyoogopa kufa kwa sasa ndio maana maneno yake yote anayatoa akiwa huko Tanganyika ila sio Pemba! Tunamsubiri akanyage tu huku tumchinje kama kuku, hatuna imani na yeyote anayeamua kutusaliti kwa hali yeyote ile.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tanganyika ni mgodi wao sasa unategemea wabaki huko Pemba si watakufa njaa
   
Loading...