Mdahalo: Hamad, Kafulila vs Mbowe unakumbuka nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo: Hamad, Kafulila vs Mbowe unakumbuka nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NALO LITAPITA, Dec 17, 2011.

 1. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wadau hivi mnakumbuka ule mdahalo wa hamad na kafulila vs mbowe walivyo mtuhumu mboe na chadema kwa mambo ya ajabu?watu hawa wawili ni wa rohoo wa madaraka sana hamad baada ya kukosa ukuu wa kambi ya upinzani bungeni akageuka hakutaka kushirikiana na chadema akashilikiana na kafulila kuitusi chadema sasa wawili hawa kila mmoja kwenye chama chake amekalia kuti kavu.hakika mambo yanajifunua hapahapa hata miaka 2 haijapita
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Walikuwa kazini ndugu, walitegemea wangelindwa na kuendelea kulipwa kumbe walisahau bwana wao ni mtu wa ku hit an run.
  Kafulila anamwonea donge mwenyekiti wake kwani yeye bado anakumbukwa na kuambulia vijisenti, HR yeye anatamani kiti cha Katibu wake anajua akikipata 2015 na yeye ataitwa Makamu wa raisi kivuli
   
Loading...