Magufuli okoa matumizi mabaya ya magari ya uma

kyoga

Member
Sep 16, 2011
31
11
Sasa hivi umeibuka mtindo wa viongozi waliopewa dhamana kutumia ovyo magari ya umma baada ya saa za kazi hata wanadiriki kujiendesha wenyewe wakati taratibu haziruhusu
 
Sio Maboss tu hata madereva wao wanatumia magari vibaya sana. Yaaaani kama analala nalo bar zote anamaliza nalo. Je huu kweli ni uungwana!!!!!!?
 
sheria ya fedha na kanuni za kudumu zimekataza na adhabu kali imeelezwa lakini hakuna anayechukuliwa hatua,..magari yanawapeleka nyumbani na kuwafata asubuhi..hakuna ufisadi kama huu..wanachakaza magari na kutumia ovyo fedha zinazonunua mafuta kwa kodi ya wavuja jasho..
 
Mtoto wa mkulima anafanya kazi gani? Mbona hataki kujifunza kutoka kwa sokoine au salim?
 
Back
Top Bottom