Leo ni siku ya mwisho kurejesha fomu za national id | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya mwisho kurejesha fomu za national id

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Dec 16, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wana JF, leo ni siku ya mwisho kwa watumishi wa serikali na taasisi zake kurudisha fomu za kuomba vitambulisho vya uraia, leo maofisa wengi wa serikali wako katika misururu mirefu ya kurudisha fomu hizo.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Watu wanapenda kweli deadline
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watanzania kwa kupenda kuwa wa mwisho acha kabisa tangia wapewe walikuwa wapi?
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kumbuka Watanzania wengi kujaza form ni shughuli nzito kwao, Usilaumu
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mbona mikoani hatujapewa hizo fomu, au ni kwa ajili ya watumishi wanaoishi DAR tu!?
   
 6. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  there is no such thing as siku ya mwisho ya kurejesha fomu za kitambulisho cha uraia.

  ni sawa na siku ya mwisho ya kurudisha fomu za kupata passport, ludicrous!
   
 7. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,279
  Likes Received: 4,271
  Trophy Points: 280
  Na sisi tusio watumishi wa Serikali,hatustahili kupata hivyo vitambulisho?
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si ndo hapo,nashangaa au watumishi wa serikali wapo dar tu,maana kila dar dar,utafikiri dar ndo tanzania pekee,nchi kubwaa hii jamaani,na idadi ya watu waliopo ni hata theluthi haifiki
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Dar ndo Tanzania, sehemu zingine ziko masaburini mwa TZ.
   
 10. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Je mtu asiporudisha itakuwaje? hakutakuwa na nafasi nyingine? au ndiyo atakuwa siyo raia?
   
 11. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Da ebwana ni kweli kabisa watu hupenda deadline,mwenye ninafanya mambo mengi nje ya deadline.Niko mbioni kubadili tabia.
   
 12. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hope utabadili tabia zote!
   
 13. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  wewe unajisemea tuu ungejua watumishi wenyewe tunavyotaabika kupata cheti cha kuzaliwa ungetulia tu. Mtumishi amezaliwa miaka ya 50 na ushee kabla ya uhuru na alizaliwa kwa mkunga wa jadi kusikokuwa na hati ya kizazi.

  Hata hviyo mtumishi huyu ana PASI YA KUSAFIRIA KAMA RAIA WA TANZANIA lakini anaambiwa atoe elfu 20 apewe cheti cha kuzaliwa ili apate National ID.

  Yaani hata sielewi hii PASI iliyotolewa na JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ inasaidia nini ikiwa haitambuliki kama utambulisho wa MTZ.haitoshi kumpa mtu national ID? Hizi elfu 20 za cheti cha kuzaliwa ni za nini?

  Ahaa anyway WATZ tumezoea kuburuzwa na huwa tunakubali tuu bila kuhoji.
   
 14. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Sio watumishi wote wa UMMA mkuu. Kwa wamikoani ni jumatatu. Form sio ngumu hivyo, tunapenda kucomplicate mambo.Wewe mpaka leo huna cheti cha kuzaliwa, nashangaa sanaa
   
 15. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na sisi wafanya biashara zamu yetu lini? au cc hatutambuliwi? Kwanza hii issue ya vitamburisho ikoje wajameni??
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Na sisi wazururaji inakuaje,au sie co raia wa tanzania?
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nyie subirini kwanza, mpaka wapate wenye nchi na nyie ndo mtapata
   
 18. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizi taasisi unadhani zitajiendeshaje kama wewe unaona unaonewa kuchanhia Tshs 20,000?
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si kosa lao tatizo unakuta form zimeandikwa kiingereza wakati lugha yetu ni kiswahili
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  mikocheni = dar
  Ilala =Tanzania
   
Loading...