Gharama za maisha zimepanda kwa wabunge tu

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Gharama za maisha zimepanda sana kwa wabunge mji wa dodoma umekuwa mji wa garama sana katika ukanda wa africa,je katika wafanyakaz wa serikali,gharama za maisha zimepanda kwao tu wabunge?
 
Wabunge wetu wanafanya kazi mpaka saa nne ya usiku hivyo wanastahili malipo mazuri ingawaje sijui ni kiasi gani
 
Back
Top Bottom