Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala Slaa afiwa na bibi yake

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa amefiwa na bibi yake leo. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake maeneo ya Makongo. Source: Jahazi la Clouds FM
 
Mstahiki meya wa manispaa ya Ilala Mh. Jerry Slaa amefiwa na bibi yake leo. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake maeneo ya Makongo. Source: Jahazi la Clouds FM

Aisee unaweza kujikuta unaambulia matusi wakati ulikuwa na lengo zuri la kuhabarisha umma juu ya kufiwa kwa Jerry Slaa.
MoDs naomba mbadilishe title ya thread maana ina mislead sana.
 
Aisee unaweza kujikuta unaambulia matusi wakati ulikuwa na lengo zuri la kuhabarisha umma juu ya kufiwa kwa Jerry Slaa.
MoDs naomba mbadilishe title ya thread maana ina mislead sana.

Ina-mislead nini hapo? Hujawahi kuona kichwa RAIS AFUMANIWA halafu habari inamzungumzi Rais wa Chuo Kikuu cha Dodoma akutwa na mke wa mtu. Sioni tatizo kwenye hiyo heading.
 
pole sana.
Lakini kalumbu ubadili iyo heading,
Leo umependeza sana na kasuari kako.nilitaka nikuite bt nikaona utasumbua.
 
Ina-mislead nini hapo? Hujawahi kuona kichwa RAIS AFUMANIWA halafu habari inamzungumzi Rais wa Chuo Kikuu cha Dodoma akutwa na mke wa mtu. Sioni tatizo kwenye hiyo heading.

Dizani ya waandishi wa habari hiyo wanakuwa wameishiwa na hoja ambazo zinaweza kuuza. Sasa sijui na wewe umeishiwa hoja za kuanzisha thread mpaka utumie jina Slaa kuleta wasomaji wengi?
 
Ina-mislead nini hapo? Hujawahi kuona kichwa RAIS AFUMANIWA halafu habari inamzungumzi Rais wa Chuo Kikuu cha Dodoma akutwa na mke wa mtu. Sioni tatizo kwenye hiyo heading.

sio Slaa ni Silaa, halafu hii habari yako ina mislead kubali kataa na heading imekaa kidaku zaidi. Anyway Pole sana Jerry Silaa kwa kuondokewa na nyanya wako.
 
pumzika bibi yake silaa..mwanga wa milele utaangaziwa na upumzike kwa amani bibi weee
 
Haaaa Mwita25 leo kashikwa lol mie @ 1st glance nilijua ni dr.slaa kumbe ni jerry silaa,sasa Atimw52 kwanini usi-edit tu?
 
Katika Historia ya Taifa Hili Sijaona Meya asiyekuwa na maono (Vision) Kama Huyu Kijana!! Just as Nothing!! Ok labda Ukiwa Magamba na uwezo wa Kufikiri Unakwisha!! Majiji ya wenzetu Yameendelea na kuwa na Mipango endelevu Kutokana na mameya wao!! Ila hapa Dar, Naona Laana Tu!! Eeeh Mungu Tusaidie!!!! Bora Azikwe Kaburi Moja na Bibi Yake!! RIP Bibi
 
Back
Top Bottom