Watanzania tumelala amkeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tumelala amkeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makupa, Dec 16, 2011.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua ya kwamba Supermarket zote kubwa hapa tanzania wanauza bidhaa ambazo hazizalishwi kwenye nchi ambazo hao wawekezaji wametoka,mfano shoprite ambayo inaaminika ya kuwa wawekezaji wanatoka south africa lakini asilumia sabini ya bidhaa wanazouza zinatoka china na south korea kwa hivyo basi kwa nini watanzania wazawa wanashindwa kuendesha hizi biashara uchuuzi kama hizi
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe ni mtu wa taifa gani?amka wewe kwanza ili uwamshe wenzio walio lala
   
Loading...