Changia TV IMANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia TV IMANI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 14, 2011.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Assalam alaykum
  warahmatullahi wabarakatu -ewe mpenda kheir napenda
  kuchukuwa fursa hii adhwim
  kukuomba ujeufanye biashara
  na Allah(.s.w.t) siku ya tarehe
  18.12.2011 kutakuwa na
  mchango wa TV IMAAN katika uwanja wa Taifa jijini Dar-es-
  salaam. Ndugu katika Imani, kwa
  waliopo Tanzania, Tafadhali I
  copy msg hapo juu na uifanye
  kuwa status yako kwa leo, na
  watumie ndugu zaidi ya 10
  katika imani kama sms ili Tamasha la kuchangia Radio
  Iman lihudhuriwe na wadau
  wengi wenye nia na haja ya
  kuchangia Tv Iman
  Ndugu Yako katika Imaan We hereby take this golden
  chance to request you come do
  business with Allah(s.w.t)on
  the 18.12.2011.TV IMAAN is
  giving you a platform to do
  business with ALLAH by organizing a fundraising for the
  TV at the National Stadium-Dar-
  es-salaam Tanzania from 8am
  to 4pm.come and invest in your
  hereafter.Muhammad Matano
  the Programs Controller Please copy some of our status
  regarding the TV IMAAN
  FUNDRAISING on the 18.12.2011
  at the NATIONAL STADIUM in
  Dar-es-Salaam and make it your
  status or send it to your friends like s.m.s.this will really help in
  spreading the word as we are
  running out of time please
  please help us in the name of
  ALLAH. KWA WENYE NIA YA
  KUCHANGIA TV IMAAN KUPITIA
  MABENKI....................... TV IMAAN BANK ACCOUNTS: AMANA BANK LTD ACCOUNT
  NUMBER : 001110001660001
  TSHILLINGS.
  KCB (T) LTD BANK ACCOUNT
  NUMBER : 024272000891
  TSHILLINGS. NBC BANK LTD ACCOUNT
  NUMBER : 026132000050
  TSHILLINGS. Kwa wale wanaotaka changia
  TV Imaan kupitia mitandao ya
  simu hizo hapo chini. M-PESA 0767 627284 TIGO- PESA 0713 627284 Z-PESA 0778 627284 Changia TV Imaan kuleta NURU
  katika Nyumba yako bi idhini
  LLAH. MSIKOSE KUFIKA KATIKA
  KONGAMANO LA KUCHANGIA TV
  IMAAN TAREHE 18.12.2011
  UWANJA WA TAIFA DAR ES
  SALAAM KUANZIA 2 ASUBUHI
  HADI AL ASR.
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  hyo tv ndio ipo wapi?
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ili wahubiri fitina na unafiki?
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Naama Ujumbe umefika.ama hakika hakuna linaloshindikana mbele ya ALLAH
   
 5. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ili mkaendeleze udini wenu wa kipuuzi? Mimi ni musilim safi ila cwez kutoa hata sent kuwachangia nyie wanafiki.
   
 6. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kama ujumbe haukuhusu nini kinachokuuma? Acha wenye moyo wajitolee! Kama ulidhan vifaa vya makanisa tu ndio vyenyehaki ya kufanyiwa harambee basi utakuwa na matatizo ya kifikra. Kwanini wewe kama mkristo hupendi kusikia zuri lolote linawashukia waislam?
   
 7. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inshara
   
 8. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu hapa kanisa linatoka wapi! We convice watu waje wachangie, si unaona wenzio harambee wanataka mil 120 wanapata 240, kutoa ni moyo sio jazba, naomba utuletee feed back mmdpata kias gan.
   
 9. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sio jazba ndugu yangu! Kuna watu wanaudhi. Tunachopigania ni kuuokoa umma kutoka katika maovu na kwa hakika hii ndio biashara nzuri kufanya,kwani hapo ni kuweka kwa Mwenyezi Mungu hakiba ambayo haiozi na wala hakuna mwizi atakekwenda kuiba hifadhi hiyo. Haya tufanye kujiandaa kwani huenda jema lako la leo kesho likakukinga na moto.
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Kanisa linahusika nini hapa?
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kuna Paroko wa hapa jirani amepata huu ujumbe, sasa ameniambia tuangalie uwezekano wa kuleta mchango wa Parokia yetu.
  Inawezekana, na sie tufanye biashara na Allah?
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  eleza tv ishaanza ama bado? iko mkoa gani? imeanzishwa kwa ajili ya waislamu peke yao au watanzania? mpaka sasa mmeshapata kiasi gani na mmefikia wapi na mmepungukiwa kiasi gani? ukiweka details sawa utapata mchango
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  ndiyo, hakuna lisilowezekana, lakini nitajie machache yaliyowezekana hapa Tanzania-mimi nimeona haya machache: shule zetu nyingi hufanya vibaya, hatuna huduma bora kwa jamii eet cetera.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Mimi nipo tayari kuchangia ila pesa zangu zinatokana na biashara yangu ya kuuza nyama ya nguruwe na pombe, je pesa hii itapokelewa? naomba kujulishwa ili nitoe harambee yangu.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kawapelekee wakirisito wenzako Sabato Masalia, nadhani watakushukuru sana.
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mh! Tv Imani!
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa wanaoomba mchango ni Tv Imaani na sio wakirisito sabato masalia, jaribu kushirikisha ubongo wako.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Radio imani malaria sugu ana hisa huko amwalike Dr. Slaa awachangishie.
   
 19. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Kama utachangia changia, Kama hutoi nyamaza Kwan lazima uongee ktk kila post
   
 20. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na kama kweli wewe ni mwislamu huenda ni wale vuguvugu (si baridi wala moto).
   
Loading...