"Mkuki wa Taifa" (Umkhonto we Sizwe) latimiza miaka 50! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Mkuki wa Taifa" (Umkhonto we Sizwe) latimiza miaka 50!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nimie, Dec 16, 2011.

 1. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Umkhonto we Sizwe (MK) “Spear of the Nation”, leo 16/12/2011 jeshi hili la wapigania uhuru wa Afrika Kusini limetimiza miaka 50 tangu liundwe. Kale ka-slogani ka “Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele” katika uhalisia kaliwafaa zaidi wao kuliko sie na usanii wetu. Hongera “Mkuki wa Taifa” tumeona!
   
Loading...