Mikoa gani watu wao wanaishi kwa furaha Tanzania

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Mbeya===ndio wanaishi kwa furaha zaidi kuliko mikoa yote,sababu kubwa ni ile ya kuamini lazima kila mtu atakuwa tajiri siku moja Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani ya mkoa wao ni magumu na yanahitaji akili ya hali ya juu zaidi
Iringa===wanaishi maisha yenye giza mbele kwa kuwa wanaonekana wamekata tamaa zaidi kuliko mikoa mingine
Mtwara==wamezoea matatizo magumu na wanaona ni kitu cha kawaida kwao
Rukwa==wanaishi kwa kuheshimu binadam wenzao zaidi kwa kuwa wanajua maana ya radi za kutengeneza
Arusha==wanaishi kwa matumaini ya maisha kubadilika lakini inaonekana kama itakuwa ngumu zaidi kwa sababu serikali ya ccm imeamua kuwakomoa kwa vile walichagua upinzani

list itaendelea kwa kuwa tupo ofisini tunaendelea kufanya research
 
JF is never boring!!! Tehe tehe tehe

This tjread is very interesting, I am glued to it!
 
mwanza: wao wanaoshi kwa matumaini ya kuwa sangara wataongezeka kwenye ziwa victoria kwa hiyo na kuacha kula mapanki na kuanza kula minofu. Nashut down
 
Mbeya===ndio wanaishi kwa furaha zaidi kuliko mikoa yote,sababu kubwa ni ile ya kuamini lazima kila mtu atakuwa tajiri siku moja Kilimanjaro==ndio wanaishi kwa strees zaidi kwa kuwa maisha ndani ya mkoa wao ni magumu na yanahitaji akili ya hali ya juu zaidi
Iringa===wanaishi maisha yenye giza mbele kwa kuwa wanaonekana wamekata tamaa zaidi kuliko mikoa mingine
Mtwara==wamezoea matatizo magumu na wanaona ni kitu cha kawaida kwao
Rukwa==wanaishi kwa kuheshimu binadam wenzao zaidi kwa kuwa wanajua maana ya radi za kutengeneza
Arusha==wanaishi kwa matumaini ya maisha kubadilika lakini inaonekana kama itakuwa ngumu zaidi kwa sababu serikali ya ccm imeamua kuwakomoa kwa vile walichagua upinzani

list itaendelea kwa kuwa tupo ofisini tunaendelea kufanya research

The the the:). Hii ya kuheshimu binadamu wenzao kutokana na kujua maana ya radi yakutengeneza imenifurahiisha sana!

Asante sana kwa analysis yako!
 
mwanza: wao wanaoshi kwa matumaini ya kuwa sangara wataongezeka kwenye ziwa victoria kwa hiyo na kuacha kula mapanki na kuanza kula minofu. Nashut down

Wamesha zinduka mkuu baada ya kukamuliwa kwa karne za kutosha na wao wakisema nduhu tabu na maguzu masese sasa wanaishi kwa matumaini makubwa wakiamini katika mabadiliko ya kisiasa ndo yatawakomboa na walionyesha mfano kwenye uchaguzi wa 2010
 
Mkuu hapa tumeshindwa kukusoma'ina maana maisha ya dar ni kuwaza kwa kwenda mbele?

Kwa wazaliwa wa dar ni ndiyo labda wakuja ndo wajanja we cheki ushiriki hata kwenye politics ambayo inaweza changia mabadiliko ya hali zao za maisha dar wako ziii
 
Dah wekeni basi na Lindi, Pwani, Shinyanga, Kigoma, Kagera

kuna baadhi ya mikoa bado inafanyiwa kazi
pwani==kigoma ndio kimoja,japo bendi nyingi za miziki zilianzia pale uchawi unadidimiza mkoa wetu wa kigoma,wakina zito hawaishi kuzunguka na irizi mifukoni
 
Rukwa==wanaishi kwa kuheshimu binadam wenzao zaidi kwa kuwa wanajua maana ya radi za kutengeneza

Bwahahahahh! Pinda ana kazi kubwa ya kusafisha mkoa wake na tuhuma kama hizi.
Kweli JF is never boring
 
Back
Top Bottom