Ikulu je mnajali usalama wa wageni wenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu je mnajali usalama wa wageni wenu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 17, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Naomba kuwauliza wana usalama wa Ikulu,na washauri wa ikulu je mnajali usalama wa wageni na viongozi mashuhuri?Je usalama mnaozingatia ni wa kulinda mageti na kukagua kila mmoja aingiapo?Je mlisha wazo la SNIPERS?kama ndiyo je mliruhusu je jengo la ocean road kujengwa ghorofa lukuki?je hamuoni kama nihatari kwa endapo likitumiwa na MASNIPERS??Hebu twambieni kuhusu hili!
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Huwa wanakuja kujibu hoja hapa jukwaani?
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Bora waje kama ni usalama wa huyu m k w e r e bora wamgonge tu anatutia hasara. Haiwezekani raia wanafukiwa na wawekezaji na kutunguliwa kama tumbili then tunasema tuna viongozi wanaojali raia wa nchi hii.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tumekusikia, tutashughulikia. Lakini ikumbukwe kuwa vyombo vyetu vya usalama viko makini sana na hivyo hakuna haja kwa wananchi kuwa na wasiwasi wowote.
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia ma Kumandoo waleeee?
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Unamaana jengo lile mnalibomoa??kweli wewe ni Mwita!!
   
Loading...