Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Leo nimeona kwenye habari wenzetu wenye ulemavu wa ngozi wakitangaza mkakati wa kuzunguka nchi nzima kupambana na imani hiyo potofu. Lakini nikakumbuka hapo nyuma watu walishapiga kura ya maoni kutaja wauaji. Kuna mwana jf anayejua matokeo ya hiyo kura na utekelezaji wake?