Changia TV IMANI Kwa M-pesa na Account Hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changia TV IMANI Kwa M-pesa na Account Hizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 15, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  KWA WENYE NIA YA
  KUCHANGIA TV IMAAN KUPITIA
  MABENKI....................... TV IMAAN BANK ACCOUNTS: AMANA BANK LTD ACCOUNT
  NUMBER : 001110001660001
  TSHILLINGS.
  KCB (T) LTD BANK ACCOUNT
  NUMBER : 024272000891
  TSHILLINGS. NBC BANK LTD ACCOUNT
  NUMBER : 026132000050
  TSHILLINGS. Kwa wale wanaotaka changia
  TV Imaan kupitia mitandao ya
  simu hizo hapo chini. M-PESA 0767 627284 TIGO- PESA 0713 627284 Z-PESA 0778 627284 Changia TV Imaan kuleta NURU
  katika Nyumba yako bi idhini
  LLAH. MSIKOSE KUFIKA KATIKA
  KONGAMANO LA KUCHANGIA TV
  IMAAN TAREHE 18.12.2011
  UWANJA WA TAIFA DAR ES
  SALAAM KUANZIA 2 ASUBUHI
  HADI AL ASR.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,127
  Likes Received: 5,566
  Trophy Points: 280
  Wakati mnaanzisha mlifikiri inatumia makaratasi
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwani wale wanaoanzisha makanisa na kuitisha harambee walifikiri kutumia makaratasi?
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  kuna nguruwe wangu mmoja anavunja banda daily nimemchoka sana, nitamleta ofisini kwenu mfanye mnada na malipo ndo mchango wangu.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,127
  Likes Received: 5,566
  Trophy Points: 280
  Eeehhh eeehhhhhhh
  simo mchanga wa pwani huo
   
 6. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  think like a man not like an animal (hawayan)ww
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  Kipindi Yusuph Makamba ni mkuu wa mkoa wa dar alihudhuria mahafali ktk shule ya Kifungilo kama mgeni rasmi akashiriki kunadi baadhi ya mazao yaliyoletwa kwa ajili ya harambee ya shule iyo, moja ya wanyama wa kufuga aliyowanadi ni hii kitu na akasema sio mbaya kuuza ilimradi hujala.
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,956
  Trophy Points: 280
  Khaa...
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mnataka ela ya bure ehee!
   
 10. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nyie ndio wenye haki ya kupewa za bure? Nadhani shule haijakusaidia lolote zaidi ya kujua kuingia internet na kuandika ulichoandika.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kutoa ni moyo si utajiri.
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sure......ndo maana Mh. Mbowe aliendesha harambee juzi ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Rambo kule jimboni kwake.

  Kutoa ni moyo.
   
 13. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii TV ina uhusiano na redio imani? Kama ndio nawashauri pesa mtakazozipata jaribuni kuajiri watu waliosomea fani ya uandishi wa habari ili wafanye kazi hizi za kitaalamu. Acheni kuokoteza watu ambao wamepitia madrassa alsur tu, ambao kazi yao ni kupandikiza chuki kutokana na kutokuwa na weledi katika fani ya uandishi wa habari kisa mnapata unafuu wa kuwalipa peanuts!
  Pili kwenye TV yenu nawashauri mumuunge mkono JK kwa kutangaza kilimo kwanza, mulitumie shamba la bi fatma kimario (mkuu wa wilaya ya Igunga) kule mbezi kama mfano kwa kuonesha mifugo yake ilivyonawiri kwa kuwa na mafuta ya kutosha.
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mgeni rasmi atakuwa nani?
   
 15. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kama kweli una elim basi elim yako bado imegubikwa na Giza, siku ukipata faham utajua ujinga wako ni nini.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu mr mak habari za siku long time no see you..
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Mkuu tunashukuru kwa kutukumbusha, maana siku zote mambo ya kheir watu huwa hawayapendi. Ila lingetoka tangazo la kuhamasisha ushetani watu kama Pdidy,Daudi etc wangependa wawe vinara. siku zote kuwajua watu wa shetani ni rahis mno.

  Mtoa mada yeye katoa ukumbusho na hajamlazimisha mtu na michango ipo kiimani zaidi sasa kama wewe unaona ufahari kuandika masuala ya nguruwe au or any satanic beh jua kuwa unajidharaulisha na kujianika uwezo wako wa kufikiri.
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  you dont see me where? kama ni humu Jf daily nipo muulize Md.
   
 19. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawayan ndio nini mkuu?
   
 20. i

  issenye JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 988
  Trophy Points: 280
  Wiki iliyopita kulikuwa na thread inayozungumzia Mbowe kuandaa harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti. Ajabu ilipata upinzani mkubwa toka kwa ndugu zetu waislamu, wakisema kuwa sheria za uislamu haziruhusu harambee (mt unatakiwa utoe kimya kimya). Iweje hilii la kuchangia redio imaan hawalipingi? au kwa kuwa wanalifanya wao wenyewe waislamu? Tunaomba ufafanuzi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...