Petrol feki yaingia dar;yaizinishwa na tbs;mafari yaliotumia yazima

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,136
Soma habarileo /mwananchi
magari na mitambo kadhaa itumiayo petrol iko hatarini kuharibika pale taarifa za kuingizwa kwa tani zaidi ya 30,000 za mafuta machafu

habari zenye uhakika zinasema zaidi ta tan 30,000 ya mafuta machafu yameingizwa na makampuni kumi yaletayo mafuta na kusambwazwa kwa maghala na vituo mbali mbali
habari zinasema mafuta yaliotakiwa kwenda mkoani yalizuiwa baada ya magari kadhaa dar es salaam kuzimana wahusika wa magari kulalamika kwenye vituo husika

katika kutafuta ukweli gazeti la habari leo liliwasiliana na ewura ambao wamekiri kutaambua tatizo hilo na juhudi za ufwatiliaji zimeanza kuchunguza kilichotokea kwa kuchyukua sampuli za mafuta yaliokokwenye magahala mbalimbali

nikweli tumepata taarifa na tumeifwatilia meli ilioshusha mzigo huo n baada ya hapo tutaandaaripoti kuhusiana na hili waliisema washenzi hawa wa ewura...hadi sasa nazungumza mkurugenzi wa ukaguzi yuko bandarini kanakwamba ajui kilichotokea

nao tbs ambao wanahusika na kiwango cha ubora wametafutwa bila mategemeo na mbaya zaidi mkurugenzi wao alipojua siri hii imefichuka na tbs wamepitisha aa kuhalalaisha uchafuu huu hata simu apokei asioijua

hata tpa wa bandarini awakuwa tayari kuzungumza wkaiongozwa na msemaji wao mziray ambae kila siku amekuwa akishinda redio clouds fm kujtangza ubora wa tpa na mambomengineo leo amekuwamkali kabisa kuongea na watu...

Aidha baadhi ya wamiliki wa makampuni makubwa yalioagiza walipoulizwa walidai wakubwa wao wapo zanzibar kwa holiday wafwate january,,shenzi kabisa hawa...ingawa tatizo hili limegubikwa na usiri mkubwa habarizaidi zinasema hii ni mara yatatu kutokea na watu waliamua kukaa kimya baada ya kupewa shekeli kadhaa na hata hili limebumbuluka baada ya watu kadhaa kutofautiana wakati wa maelewano

je wewe ni muathirika wa hili

mungu akupe rehema zake kwa kweli

I discharged 3 times in a week the spoiled petrol from my bike!! Shame!! Shame my country

Ubinafsi umezidi watu wameacha kuangalia maslahi ya taifa utadhani mafuta hayo hayatatumiwa pia na ndugu zao achililia mbali watu wengine.

duh wakuu ni vituo gani hivyo ili tuwe makini kidogo! Inabidi tununue kwenye hivi vituo vyenye goodwill tu sasa kama bp na total labda hakuna haya mambo

duh wakuu ni vituo gani hivyo ili tuwe makini kidogo! Inabidi tununue kwenye hivi vituo vyenye goodwill tu sasa kama bp na total labda hakuna haya mambo

Aisee hii ni mbaya sana... Mimi nilijaza mafuta pale ENGEN ya mikocheni jana asubuhi baada ya muda kidogo nihisi gari limeanza kuwa na misi. Ikadidi ninue fluid ya kuchanganyania then imestabilise!

Thanks for info.

hata wale samaki tbs c waliwapa kibali? Usishangae ikitoka report ndeeefu kwamba mafuta ni salama

aisee hii ni mbaya sana... Mimi nilijaza mafuta pale engen ya mikocheni jana asubuhi baada ya muda kidogo nihisi gari limeanza kuwa na misi. Ikadidi ninue fluid ya kuchanganyania then imestabilise!

Thanks for info.

mkuu hii itakuwa ni mojawapo na waathirika wakubwa ni wakala wa engen..hata mie nimejaza majuzi imenipa mis mbaya sijui utusaidie umechanganya na nini mpwa tuweke kabisa sby kweny gari ikitokea tena

Back
Top Bottom