Msafara wa Rais MU7-Ambulance na Gari lenye Choo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa Rais MU7-Ambulance na Gari lenye Choo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Dec 17, 2011.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  Ama kweli ukistaajabu ya Musa....kwa mara ya kwanza nilistuka na kujiuliza sana baada ya kuona msafara wa ais JK ukiambatana ambulance....majuzi nikiwa Kampala kwenye ICGLR nilishangaa zaidi baada ya kuona msafara wa Mu7 ukiambatana na gari lenye choo lenye ukubwa mithili ya magari ya benki ya kuchukuza fedha airport etc.

  Usuli wa udadisi ni hivi.......tukiwa ndani ya mkutano na mara tu baada ya Mu7 Kukabidhiwa kiti cha uenyekiti, nilishngaa baada ya sekunde kadhaa akiinuka ghafla na kuelekea ambako nilisadiki kwamba ni msalani....alirudi mkuttanoni lakini baada ya muda tena akafanya hivyo hivyo.........nilidadisi zaidi na kugundua ana box kubwa ambalo lina vitambaa/tissue nyeupe..huenda mna dawa fulani kama alivyo Mh KK wa Zambia kwa kitambaa chake chake cheupe......siku ya pili nilipoendelea kudadisi wenyeji kuhusu hali ya Mu7 NDIPO nilipojuzwa kwamba hata gari kubwa niliyoona ni choo na hulisimamisha wakati wowote mambo yanapokuwa si mambo..

  Hoja hapa ni jinsi viongozi wetu wanavyong'ang'ania madaraka hata pale wanapoona jioni imegonga hodi......zaidi sana ni bajeti kubwa inayotumika katika masuala ya ulinzi yaani ukiwa hapa utadhani nchi iko vitani..nimeona kushirikisha jukwaa kidogo katika hili
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Who is not sick then? Kibaki? Well,we are all sick
   
 3. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mugabe kasema urais ni pepo la mwisho
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu nimecheka sana,lakini mbona waganda wenyewe tuliona walivyomchagua kwa kura nyingi?ndio maana nchi kubwa haziwezi kuingilia mambo kama hayo kwa sababu yanaonekana kama ni maamuzi ya wananchi,kazi tunayo
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inaelekea afya ya Mu7 ni tia maji tia maji kama ya jamaa yake DrX5 JK
   
 6. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Amavubi mbona 2mbo linamshka kila m2 kwan Mu7 c m2?
   
 7. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo sipati picha JK na ambulance zake vibajaji!
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mkuu uko sahihi maana tujiulize rais akishikwa tumbo na sehemu hiyo haina huduma ya choo itakuwaje? Urais haumuondolei ubinadamu wake,ingawa huku Afrika wanajidai wao ni zaidi ya binadamu.
   
 9. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mi sioni ajabu Amavubi kushangaa hilo maana huku kwetu Afrika tumesadikishwa kwamba marais ma-supermen yaani tofauti na binadamu wengine. Lakini ukweli ni kwamba hakuna cha kushangaa hapo kwani M7 ni mtu kama wewe na mimi na hutimiza haja zake zote za kiutu kama tufanyavyo. Kwa hiyo kutembea na Mobile Toilette ni jambo la kawaida ukizingatia tishio la nchi toka kwa Al Shabab ambapo kama uko makini huwezi ukamwacha aende timiza haja hizo kwenye msalani wowote, wasije wakamwotea na kuitia hasara nchi.
   
 10. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Pole Mu7 "Mimi nadhani alipata tumbo la kuharakisha mlo lakini ndiyo hivyo tena na uzee umekaribia. Lakini kweli hii kali tumbo likusumbue juzi na keshokutwa mkutano unaagiza "Mobile Presidential Toilet" Ingekuwa kwa wafalme tungeita "Royal Toilet". Hongera Mu7 kuwa na choo muondoko.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Muda c mrefu jk nae ataiga.
   
 12. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Haya ulioandika ni matusi,MU7 hakuchaguliwa ni kwamba hakuna mtu ambaye anaweza kumshinda kwani yeye ana amini kuwa ndie anaweza kuiongoza Uganda peke yake.
   
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Uhuru uliopatikana kwa mapenga lazima ulindwe kwa mapanga" Julius Kambarage Nyerere
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nadhani na yeye alihundhuria ile course on how to rig elections iliyokuwa inatolewa na Prof of Politics, Daniel Arap Moi
   
 15. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu unamaanisha huyo Mh. M7 koki imefeil kiasi kwamba inaliki masaa yote? Kama ni hivyo mbona watu watapakimbia Ikulu ya UG maana masaa yote patakuwa pnanuka! Kitu kilichobaki ni kwamba aachie ngazi mara moja uchaguzi uliyo huru na wa haki ufanyike. Achaguliwe mtu mwenye afya njema atakaeongoza la sivyo UG kushiney!!!
   
 16. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu unamaanisha huyo Mh. M7 koki imefeil kiasi kwamba inaliki masaa yote? Kama ni hivyo mbona watu watapakimbia Ikulu ya UG maana masaa yote patakuwa pnanuka! Kitu kilichobaki ni kwamba aachie ngazi mara moja uchaguzi uliyo huru na wa haki ufanyike. Achaguliwe mtu mwenye afya njema atakaeonggoza la sivyo UG kushiney!!!
   
 17. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,353
  Trophy Points: 280
  Weka picha!
   
 18. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  duu! ndo maana hakuja kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru pale uwanja wa taifa, nadhani alishtukia akamtuma mwakilishi maana ingekuwa noma!
   
 19. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  pia ni rais wa nchi zenye watu wenye maziwa makubwa
   
 20. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,497
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Mu 7 si mzee sana ukilinganisha na mugabe ingawa hii haiondoi ukweli kuwa naye ni kinga'ng'anizi.
  Kama afya yake ina matatitizo huenda akabadili mwelekeo.
  Kutembea na gari la choo mi sioni ajabu sana kuliko gadafi alipoamua mabodigadi wake kuw a wanawakk na vituko vingine.
   
Loading...