Mtu mmoja afia ndani ya basi la 'Mombasa raha'

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga.

Kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu amesema mtu huyo ambae ni mjukuu wake alisikia mjukuu wake anaumwa sana huko machimboni na kuamua kumfuata na kumpeleka kwao bariadi.

Hapa ndo tumefika ktk hosptali ya mkoa Shinyanga na wauguzi wanashusha mwili wa marehemu.

Inasemekana mpaka sasa ni zaidi ya watu wanne ndani ya mwaka mmoja wamekuwa wakifia ndani ya magari ya Mombasa Raha, ni bus lenye namba za usajili T140 BTM.

Souce: Mimi mwenyewe
 
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu amesema mtu huyo ambae ni mjukuu wake alisikia mjukuu wake anaumwa sana huko machimboni na kuamua kumfuata na kumpeleka kwao bariadi.hapa ndo tumefika ktk hosptali ya mkoa shinyanga na wauguzi wanashusha mwili wa marehemu.inasemekana mpaka sasa ni zaidi ya watu wanne ndani ya mwaka mmoja wamekuwa wakifia ndani ya magari ya mombasa raha ni bus lenye namba za usajili T140 BTM. souce mimi mwenyewe.

Mkuu angalia usije ukashushwa uisadie polisi kikosi cha intelejinsia
 
mkuu tulianzia polisi kutoa taarifa na kisha tukaenda hosptal.pia kuna babu wa marehemu ndani ya busi ambae anaweza kuwa msaada mkubwa kwa polisi.
 
Ni basi linalotoka kahama kuelekea mwanza mtu huyo ambae nimekaa nae siti moja amefariki dunia gafla kabla hatujafika shinyanga kwa maelezo ya ndg yake ambae tunae siti hii hii ya watu watatu amesema mtu huyo ambae ni mjukuu wake alisikia mjukuu wake anaumwa sana huko machimboni na kuamua kumfuata na kumpeleka kwao bariadi.hapa ndo tumefika ktk hosptali ya mkoa shinyanga na wauguzi wanashusha mwili wa marehemu.inasemekana mpaka sasa ni zaidi ya watu wanne ndani ya mwaka mmoja wamekuwa wakifia ndani ya magari ya mombasa raha ni bus lenye namba za usajili T140 BTM. souce mimi mwenyewe.
Slave, naomba maoni yako kuhisna na kinachpweza kuwa sababu ya kifo hicho kwa sababu hii kauli yako kuwa watu wanne wameshafia ndani ya mabasi hayo inaleta mashaka na ni tuhuma nzito dhidi ya mabasi hayo. lakini unasema kwa maelezo ya babu wa huyo marehemu alikuwa mgonjwa aliyefuatwa machimboni. Ulivyoona wewe, kifo hicho kimesababisha na kusafiri ndani ya basi au ugonjwa wa huyo marehemu wa mgodini?
 
hapo kwenye red sijakupata vizuri mzee
 
swali la msingi sana!
 
mkuu slave pole sana kwa msiba ila pia kuwa makini na kauli mkuu alafu umepotea sana cku hizi
 
[/COLOR]hapo kwenye red sijakupata vizuri mzee

kwanza namshukuru mungu kwa kufika salama pili naomba nikufahamishe kuhusu hapo kwenye red. Nikwamba hapo kuna mambo mawili 1 nina uhakika kuhusu kifo chake 2 ninapo sema inasemekana nadhani nakuwa nimeeleweka.kwa hiyo kuna tukio nililoliona na kuna matukio ambayo yametajwa na baadhi ya abiria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom