Kuchangia TV IMANI ni Kesho Uwanja wa Taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchangia TV IMANI ni Kesho Uwanja wa Taifa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 17, 2011.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kongamano kwa wakaazi wa
  Dar es Salaam na walio
  karibu,kutakuwa na
  kongamano la kuchangia TVI
  jumapili tarehe 18/12/2011
  UWANJA WA TAIFA,saa mbili asubuh mpaka 12 jion ni bure
  waumin na wapenda
  maendeleo wote shime kufika.
  CHA KUSIKITISHA NI
  KWAMBA,WAKATI HUKO
  UWANJA WA TAIFA KUNA SHUGHULI KUBWA NAMNA
  HIYO,NA PALE STARLIGHT KUNA
  HABARI KUWA KUTAKUWA NA
  MASHINDANO KWA MADARASA
  10 ZA DARESALAM.
  MASHINDANI HAYO NI YA KUPIGA KASWIDA,JE WAWAJUA
  WAAANDAJI? NI CLOUDS RADIO 88.4 NA
  CLOUDS TV. (HAWATOKUBALI MAYAHUDI NA
  MANASWARA MPAKA MUFATE
  MILA ZAO). Pia tunaomba kwa wale ambao hawatafika wachangie kwa M-pesa. Lakini kwa wale watakao hudhuria wawe wanatupa up dates ili na wengine waliombali wafaidike. Natanguliza Shukran Zangu za Dhati.
   
Loading...