Ulishasikia hii:Simba amlea mtoto wa swala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishasikia hii:Simba amlea mtoto wa swala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana kinyonga, Dec 17, 2011.

 1. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii ishu nliickia kupitia bbc swhl then nikaiona aljazeera na cnn!Ilitokea pande za kenya baada ya simba jke kuonekana na mtoto wa swala bila kumtafuna huku akiwafukuza simba wengine kumsogelea.Mwisho nilitatizwa maana ckuwah kupata feedback ya after 2kio.Watu ninapowacmlia hili 2kio wanakata kabsa,je nanyi wanaJf?
  Nawasilisha
   
 2. T

  Teko JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nilishaiona ktk mojawapo ya chanel za DSTV,sikumbuki ni chanel gani,lakini mwisho wake simba alimla yule swala.
   
 3. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dah kumbe alimtafuna!Thanx T 4 info.
   
Loading...