CUF wanalumbana, NCCR-Mageuzi wanatimuana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF wanalumbana, NCCR-Mageuzi wanatimuana!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Dec 18, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wiki hii haikuwa njama kwa wapinzani na wafuasi wa vyama vya upinzani ambao wanataka magezui nchini Tanzania kwani walisikia habari za malumbano makubwa ndani ya Chama cha Wananchi CUF, huku Hamad Rashid Mbunge Mkongwe wa Cuf na mmoja wa viongozi makini wa chama hicho akiingia katika ulingo wa malumbano makubwa baina yake na Naibu Katibu Mkuu wa CUF mtatiro, malumbano ambayo yanaonekana kumshirikisha pia Katibu Mkuu wa CUF maalim seif sharif hamad. Hatujakaa sawa NCCR nao wamemfukuza uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulia na wajumbe wengine sita akiwamo aliyekuwa mgombea urasi wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, Hashim Rungwe. wapinzani wanaelekea wapi?
   
Loading...