Act on illegal foreign workers, MPs tell govt
Dar es Salaam: Members of Parliament pressed the government to take action against foreigners who get employed through illegal procedures and...
Thursday, 22 December 2011
Mkazi wa eneo la Kinondoni Shamba akihama na godoro lake kuelekea kwa wahisani eneo la jirani baada ya nyumba zao kukumbwa na mafuriko, jijini Dar es Salaam, jana...
Wanajamvi. Ninaishi maeneo ya mbezi luis kwenye kakibanda kangu nilikokajenga kwa kujinyima na kufanikiwa kuingiza umeme baada ya kuusubiri kwa takribani miaka minne. Kwenye laini ya umeme...
Poleni sana ndugu zangu wa DSM kwa athari zilizosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Nimekuwa nikifwatilia wasemaji mbalimbali ktk vyombo vya habari na kubaini kuwa wengi wa...
Mimi raia wa Tz kutoka Arusha natoa amri kwa shirika la utangazaji la Taifa TBC kusitisha ratiba za kurusha vipindi vya kawaida na muanze mara moja kurusha yanayoendelea kwenye mafuriko Dar! Watu...
Wakati wilaya ya Mbinga ikishika mkia kimkoa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba,reaction ya walimu humo imekuwa tofauti.Walimu wengi wa shule za msingi wameonekana wakifurahia na...
1. Kabla ya mwaka 1999 tanzania ilikuwa nchi pekee kubwa duniani kutokuwa na tv ya taifa.
2. Kabla ya uhuru wa kuanzisha vyombo binafsi vya habari kulikuwa na radio moja rtd, magazeti ya...
Jamani television ya taifa leo mmechemsha zaidi...yaani huwa hamsikilizi kwani matangazo yenu yanavyoingiliana na mashirika mengine?jirekebisheni kama vipi ombeni msaada kwa tido mhando si dhani...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone:255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax...
salama jamani.
Jamani sikujua kama bunju A nilipouziwa kuna mkondo wa maji kiasi hiki. Yamepanda nyumba yanataka kuingia ndani. Jamani jamani, jirani yangu analia hapo nje. Mvua ya leo c mchezo...
Nasafiri kutokea Morogoro nimekuta ajali mbaya sana maeneo ya CHALINZE kati ya basi la MJ SAFARI limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo anina ya SCANIA na kupinduka vibaya. Nimeshuhudia...
Heshima kwenu wanajamii;
mimi ni mtumishi wa umma ambao mshahara wangu ni TGD 2 ambao baada ya makato napokea sh. 370,920
nimekuwa nikipokea kiasi hicho kuanzia Julai mwaka huu mpaka Novemba, 2011...
Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi njia panda ya Tabata jaribuni kutumia njia mbadala kwani njia ina foleni ambalo halitembei. ni kwamba daraja la matumbi lilibomoka...
JK baada ya kuzunguka kwa helikopta kuona mafuriko yaliyowakumba wakazi wa Dar atahutubia wakazi wa jiji hili katika uwanja wa shule ya Mchikichini, Ilala mchana huu.
TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA MAOVU HOSPITALI YA MKOA MTWARA.
UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Mkoa
Waheshimiwa Wajumbe wa Bodi ya Hospitali ya Mkoa...
Wateja wa NMB waliofurika leo asubuhi wamekerwa na utaratibu wa huduma kwa foleni baada ya wafanyakazi wa benki hiyo kuvuruga utaratibu kwa kuwapendelea wale wanaowafahamu kwa sura na majina...
Wanajamii hapa tumekuwa na mjadala mrefu kuhusu kufukuzwa uanachama david kafulila kwa kosa la kuzungumza siri za chama kwenye vyombo vya habari. Ningependa kujua wafuatiliaji wa habari.
Ni...
Yaani leo
nimekuwa kwenye maandamano tankibovu mpaka kawe kwa kweli nimewiwa na mijuiza ya mungu
pale alipotuunganisha na wenye magari yao kuandamana na huku yule unaemjua akikupita kila siku...