JK; Serikali yako imenikopa sh. 36,600 katika mshahara wangu wa mwezi Desemba, 2011

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima kwenu wanajamii;
mimi ni mtumishi wa umma ambao mshahara wangu ni TGD 2 ambao baada ya makato napokea sh. 370,920
nimekuwa nikipokea kiasi hicho kuanzia Julai mwaka huu mpaka Novemba, 2011
ila mshahara mshahara wa mwezi Desemba, 2011 kwa sisi watumishi wa Mizara ya Maji umeingia jana aidha nilikuwa sijui kama mshaha umeshaingia mpaka nilipigiwa simu na mtumishi mwenzangu na kuniuliza kama nafahamu kwa nini mshahara wake umepunguzwa kwa sh. 40,000 na pia alipenda kujua kama na mimi shahara wangu umepunguzwa kwa kiasi hicho; kwa kutumia nmb mobile nikaangalia salio langu na nikagundua mshahara wangu umepungua kwa sh. 36,600
mbaya zaidi sifanyi kazi DSM kwamba nitaenda kuuliza na wala sijawahi kukopa labda litakuwa nimeanza kukatwa.
kama kuna mtu anamajibu kuhusu hili naomba anijulishe .
nafikili serikali inawezekana haina hela ndio maana wameamua kunilipa kiasi swali linalojiulize hela ambazo hazija ingizwa nitegemee kulipwa lini?
mshara wangu mdogo ni haki yangu na ni lazima nilipwe kwa nini nikatwe? kwa nini wasikate posho ambazo sio lazima kulipwa?
inaniuma sana nilikuwa namipango yangu wameniharibia ni bora ungechelewa kuliko kuwahi alafu nusu.
naona nchi inafuria kwa sababu ya uongozi mbovu wa raisi wetu
 
Pole sana, hili tatizo limekuwepo kwa miezi mitatu hivi sasa na limewakumba wengi. Sijasikia Serikali ikitoa ufafanuzi wowote zaidi ya baadhi yetu kuunganisha "dots" na kupata jawabu kwamba Serikali imefilisika na tunakatwa
mishahara kwa zamu kufidia upungufu wa fedha unaoikabili Hazina yetu.

Wasiliana na Mkuu wa Kitengo cha mishahara wa Wizara/Kurugenzi yenu hata kwa simu walau upate ufafanuzi.
 
asante kwa ushauri nitafanyehivyo
 
Heshima kwenu wanajamii;
mimi ni mtumishi wa umma ambao mshahara wangu ni TGD 2 ambao baada ya makato napokea sh. 370,920
nimekuwa nikipokea kiasi hicho kuanzia Julai mwaka huu mpaka Novemba, 2011
ila mshahara mshahara wa mwezi Desemba, 2011 kwa sisi watumishi wa Mizara ya Maji umeingia jana aidha nilikuwa sijui kama mshaha umeshaingia mpaka nilipigiwa simu na mtumishi mwenzangu na kuniuliza kama nafahamu kwa nini mshahara wake umepunguzwa kwa sh. 40,000 na pia alipenda kujua kama na mimi shahara wangu umepunguzwa kwa kiasi hicho; kwa kutumia nmb mobile nikaangalia salio langu na nikagundua mshahara wangu umepungua kwa sh. 36,600
mbaya zaidi sifanyi kazi DSM kwamba nitaenda kuuliza na wala sijawahi kukopa labda litakuwa nimeanza kukatwa.
kama kuna mtu anamajibu kuhusu hili naomba anijulishe .
nafikili serikali inawezekana haina hela ndio maana wameamua kunilipa kiasi swali linalojiulize hela ambazo hazija ingizwa nitegemee kulipwa lini?
mshara wangu mdogo ni haki yangu na ni lazima nilipwe kwa nini nikatwe? kwa nini wasikate posho ambazo sio lazima kulipwa?
inaniuma sana nilikuwa namipango yangu wameniharibia ni bora ungechelewa kuliko kuwahi alafu nusu.
naona nchi inafuria kwa sababu ya uongozi mbovu wa raisi wetu
Ni kwakuwa huchangii Jf
 
Afadhali ya wewe mkuu.Mimi zimepungua 53000.Nimefikiria sijapata jawabu!Kesho naenda kutrace kwa jamaa wa salaries na itabidi anipe majibu ya kutosheleza!Hii imenikarahisha sana ukizingitia msimu wa maumivu ya ada bado wiki tatu tu.Kama kuna watu wa hazina humu hebu tusaidieni jamani hivi tatizo ni nini?
 
Okey wafanyakazi wetu msijali mtarudiwa hela zenu,mm nlishastaafu ajira serikalini.
 
Back
Top Bottom