Mvua ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua ya leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lady G, Dec 22, 2011.

 1. L

  Lady G JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  salama jamani.
  Jamani sikujua kama bunju A nilipouziwa kuna mkondo wa maji kiasi hiki. Yamepanda nyumba yanataka kuingia ndani. Jamani jamani, jirani yangu analia hapo nje. Mvua ya leo c mchezo ndugu, kwenu vipi wenzetu tupeane habari tafadhali.
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu achana na mambo ya habari, kwani hiyo hapo tayari ni habari. Kimbia kwanza uinusuru nafsi yako. Msaidie na mwingine aliyeko karibu yako.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Pole jamani
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi nimeacha kila kitu,mlango uligoma kufunguka!
   
 5. L

  Lady G JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ixee pole bajabiri
  Mrimi tuko stand by hapa, mambo si shwari
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Thanx
  me juz nilihamisha vyeti vyangu,jana maji yameingia while i woz at work,niliporud nakuta yanapitia dirishani,nimebak mnyonge kabisa,i lost everything
   
 7. m

  mysoul Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  pole sana Bajabiri kwa mafuriko.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Thanx much
  i believe everything has meaning,ntajipanga upya!
   
 9. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,252
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  pole lady g,kumbe jirani yangu! Niko basihaya hapa nako hali si shwari kabisa,maji yamejaa kwenye nyumba zilizoko upande wa pili wa barabara,watu wamehamisha baadhi ya vitu wameweka barabarani!hali ni mbaya,tegeta maji yanapita juu ya daraja,lile la kawe nasikia limeshuka kabisa hapapitiki ...
   
 10. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  EATV inatoa update na sasa kuna Daktari anatoa maelezo ya huduma ya kwanza kwa watu waliopata athari za mafuriko, kunywa maji, majeraha, i hope watapata wataalam wengine.
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  poleni sana kwa mafuriko..
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mimi bado ila niko standby, muda wowote nitavamiwa
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Me nimeondoka kabisa,mbna hakuna pa kukaa
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Poleni sana mlio kwenye mikondo ya maji....
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  bora nyinyi mna umeme
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Lady G hapo ulimaanisha nini? Pole na mafuriko
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Poleni sana!! ..Tambua vyomba vya hali ya hewa vinategemea mvua kuendela hadi mwisho wa wiki! Jambo l msingi ni kuhama kabla..do waht is needfull and quit for a safe place ...when its not too late Lady G!!
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wenzenu tunanunua viwanja wakati wa masika kali kama hii, na nyumba ya kupanga unatafuta wakati kam huu
  Pole sana!
   
 19. s

  sugi JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  U cant b serious,yaan una maafa na jirani yako analia,unatafuta nn huku jf?
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Poleni sana ndugu zangu... Kama anavosema kaka Azimio Jipya jaribuni kuondoka hapo maana hali itazidi kua mbaya kabla ya kuanza kua nzuri.
   
Loading...