Ni siri zipi za NCCR Kafulila kazitoa nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni siri zipi za NCCR Kafulila kazitoa nje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by February, Dec 22, 2011.

 1. February

  February Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanajamii hapa tumekuwa na mjadala mrefu kuhusu kufukuzwa uanachama david kafulila kwa kosa la kuzungumza siri za chama kwenye vyombo vya habari. Ningependa kujua wafuatiliaji wa habari.

  Ni kipi Kafulila amepata kukisema kuhusu NCCR kwenye vyombo vya habari ambacho ni siri?

  Kafulila kasema misimamo ya Mbatia inaua chama kwakuwa inatafsiriwa kuwa ya kuibeba CCM, je hiyo ni siri ya chama?

  Kafulila hivi karibuni amenukuliwa na magazeti akilalamika kuwa kesi ya Kawe inaua chama kwakuwa inasababisha ionekane ni kazi ya CCM, je hiyo ni siri?

  Tumesikia kwenye gazeti Kafulila akitofautiana na viongozi wake kuhusu kwenda ikulu baada ya azimio la kamati kuu ya CCM, je hiyo ni siri?

  Jamani mnyonge mnyongeni misimamo ya huyu dogo kama hii nakubaliana nayo.

  Nani asiyejua kama mbatia kibaraka wa CCM?

  Ukweli inasikitisha sana kuona misimamo ya gazeti bora kama MwanaHalisi wanamshambulia Kafulila. Nilitegemea wataungana nae kutokomeza vibaraka wa CCM kwenye vyama vya upinzani
   
 2. February

  February Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama hizi ndio siri basi hakuna tofauti na mafisadi wa serikali wanaopiga muhuri wa siri nyaraka zote za kifisadi.
   
Loading...