Tbc Televisheni ya taifa jamani.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc Televisheni ya taifa jamani..........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOYCE PAUL, Dec 22, 2011.

 1. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani television ya taifa leo mmechemsha zaidi...yaani huwa hamsikilizi kwani matangazo yenu yanavyoingiliana na mashirika mengine?jirekebisheni kama vipi ombeni msaada kwa tido mhando si dhani kama awezi kuwapa abc za bbc jamani nanyi mkadeseee.
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilishangaa sana, it was terrible and they never made an apology
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Achana nao hao ni wazembe wachumia tumbo tu
   
 4. K

  Konya JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  na wanavyojua kupotezea eti tutaendelea na taarifa ya habari baada ya matangazo then hata ku apologize..kuna wagonjwa pale haiwezekani hv vinajirudia mara kwa mara na wenyewe kama vile wanaona bora liende tu,ni aibu
   
 5. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mimi naona kama hawana wafanyakazi mahiri wa kuendesha Televisheni waifunge kwa muda wabaki na redio tu. Ni aibu kubwa. Jana wakati wa habari kwa ufupi walisema watu nane wamekufa, lakini wakati wa habari yenyewe wakasema 13! aaagh.. Hawana hata vifaa vya kazi na inwezekana ujuzi pia mdogo.
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ni laana walizo achiwa na Tido baada yakumtendea yasiyo haki na bado!
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  Siku hizi naangaliaga
  chereko
  na kile kipindi cha
  kuwakumbuka marehem na birthday
   
Loading...