Mungu bwana ni wa ajbu sana sana!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu bwana ni wa ajbu sana sana!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 22, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Yaani leo
  nimekuwa kwenye maandamano tankibovu mpaka kawe kwa kweli nimewiwa na mijuiza ya mungu
  pale alipotuunganisha na wenye magari yao kuandamana na huku yule unaemjua akikupita kila siku
  kituoni akijitahdi kukusemesha ili afike pale juu kawe...kwa kweli mungu ni wajabu ni wengi awakuamini'
  ipo siku wataungana na wenye vog zao hammer zao na mengine mengi kuelekea maandamano yasiyo ya hiyari

  ndugu zanguni hii iwe mfano kwamba ipo isku na wewe utaitaji lift ama kutaka company ufike mapema
  so mkiwa kwenye viyoyozi jifunzeni mnaowajua kuwapa hata ka lift kumbuka wewe na lift yako
  utasaidia kupunguza folen wapo wengi wanaosubiri mabasi wameacha magari yao

  mungu awasaidie upendo wenu huu wa agape kuungana nasi basi tukutane pia kwenye ufalme wa mbinguni
  kwa baba tukiwa panmoja na yasitokee ya lazaro

  ijumaa njema
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  shida haibagui...wote tulizaliwa uchi mali tumezikuta tutaziacha hapahapa!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  inkosskaz
  iwace ikazu
   
Loading...