Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi..............

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Dec 22, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi njia panda ya Tabata jaribuni kutumia njia mbadala kwani njia ina foleni ambalo halitembei. ni kwamba daraja la matumbi lilibomoka upande mmoja kwahiyo magari yanatumia njia moja kwa pale darajani na kuna malori yameharibikia hapo na kuna magari yame force njia yamekuna uso kwa uso kwahiyo hayatembei na kurudi nyuma haiwezekani mpaka hayo malori yakamilike.

  nawakilisha
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  poa. umesomeka. ova
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,526
  Likes Received: 2,452
  Trophy Points: 280
  Poleni sana.
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Roger dat.
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Poleni sana, na huo ndiyo ubaya/uzuri wa Dar.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Ndio michuzi katuaribu lakini kwenye mambo ya userious tuwe pia serious

  Barabara ya mandera ROAD??????
  (Utakuja kuongea mbele za watu watakuchekaaaa)

  Yani kuna watu mpaka mida hii hawajui neno "BEEP" yani hao utasikia eti "NIDEEP" nisave namba yako
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  wewe upo eneo la tukio au umeskia clouds fm?
   
 8. w

  watambi Senior Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Barabara ya mandera road ni ipiiiiii Hiyo
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ni hiyo hiyo... vihiyo wenzake tumeshamuelewa anamaanisha nini
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nilipita toka ubungo ikabidi nikashuka njia panda ya Tabata nikatembea hadi buguruni ndo nikaendelea na safari
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Toka buguruni kwenda ubungo
   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,763
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Typical headless drivers in Dar!
   
Loading...