KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
Wateja wa NMB waliofurika leo asubuhi wamekerwa na utaratibu wa huduma kwa foleni baada ya wafanyakazi wa benki hiyo kuvuruga utaratibu kwa kuwapendelea wale wanaowafahamu kwa sura na majina.
Baada ya kukosa uvumilivu wateja waling'aka wakisema'tumechoka,toeni uhuni wenu sote tunachukua fedha ile ile ya kitanzania.
Mmoja wa wahudumu alisikika akisema'basi fanyeni maandamano'
Kilichoonekana ni kuwa benki haijajiandaa kukabiriana na wingi wa wateja hasa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.