Basi la MJ SAFARI lachakaza watu maeneo ya CHALINZE. Lagongana uso kwa uso na SCANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la MJ SAFARI lachakaza watu maeneo ya CHALINZE. Lagongana uso kwa uso na SCANIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 22, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nasafiri kutokea Morogoro nimekuta ajali mbaya sana maeneo ya CHALINZE kati ya basi la MJ SAFARI limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo anina ya SCANIA na kupinduka vibaya. Nimeshuhudia majeruhi kadhaa pamoja na watu ambao bila shaka wamepoteza maisha. Mpaka naondoka eneo la tukio tayari polisi walikuwa wamefika eneo la tukio. Taarifa zaidi bila shaka tutazipata kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Lakini kwa ufupi hali ilikuwa mbaya kwani ni uso kwa uso na basi limepiga mweleka.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...huu mwaka!
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mbona haka kamwaka kanaisha vibaya?eh Mungu tuepushe na haya mambo
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU! Hakika una uwezo wa yote,nakutaja tena ukatende muujiza MUNGU maana hakika unaweza! Tusamehe sisi wana wako wakosaji kila leo! Tupe rehema yako MUNGU maana unaweza! Waponye wote waliopatwa na majeraha waweze kuonekana kama ada yao! MUNGU kwa kuwa ni wewe ndiyo mtaja wa mwisho kabla ya mwanzo hakika ni tumaini ya kwmb hata ktk hili utaonekana MUNGU wetu!
   
 5. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kha! Sasa sisi watanzania tumemkosea nini mungu huku mafuliko huku ajali jaman jaman jaman tumemkosea nini mungu jaman jaman hebu angalia ni nini tena haya yote chanzo chake jaman kha.. Mungu wangu huu mwaka kwel hivi jaman
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ahsante kwa maombi haya nasema Amen,naungana nawe katika sala hii mkuu,
   
 7. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Amen. Hili ndilo neno
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mshikaji kama pastor kwa jinsi ulivyonena, nami naitikia Amini.

  Ila hizi ajali sasa imekuwa ni tishio!!!!
   
Loading...