Ukistaajab ya musa....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukistaajab ya musa....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Dec 22, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakati wilaya ya Mbinga ikishika mkia kimkoa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba,reaction ya walimu humo imekuwa tofauti.Walimu wengi wa shule za msingi wameonekana wakifurahia na kushangilia matokeo hayo mabovu na ya aibu.Inasadikika kwamba walimu walifanya uzembe wa makusudi ili wanafunzi wasifaulu na hatimaye afisa elimu wa wilaya ya Mbinga ambaye hapendwi na walimu wengi wilayani humo aaibike.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  ma-bogus! sasa chuki ya mtu mmoja iwafelishe watoto wa watu wasio na kosa!
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Fukuza wote wakalime
  tumbaku na pamba
  wanarudisha
  maendeleo nyuma
   
 4. C

  Choveki JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ahsante Jaguar kutujulisha hili. Yaani watanzania sijui tukoje! Hebu fikiria walimu kama hao ndiyo wanafundisha watoto wetu, wakati wenyewe vichwani ni weupe kabisa! Ama kweli ukistaajabu ya Musa!

  Yaani wanatia kinyaa! Sasa chuki zao binafsi na afisa elimu ndiyo wawafelishe watoto? Kama wao ni wababe basi wakamvae huyo afisa. Halafu walimu hao hao utawakuta makanisani na misikitini ati wanamuabudu Mungu, kama wangekuwa wanaamini Mungu wasingefanya hayo waliyofanya! Yaani laana tupu wanajibebea!.:shock:
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hii story iko biased na ni one sided.Tunawacondemn hao walimu wkt hatujaskiliza upande wao wala kuthibitisha ukweli halisi on the ground.mi naamini hao walimu ni temporarily insane and it‘s nt their fault.

  Na hata km ni kweli,mi naamini walimu ni kundi moja la watu wenye busara,hekima na linajumuisha watanzania wa chini kabsa na wakawaida ambao kufeli kwa watoto kunawagusa directly km jamii na pengine ni wazazi,mashangazi,wajomba etc wa hao watoto.

  Cha kujiuliza ni je, kama ni kweli sababu ni nini?Haimaanishi kuna uozo mkubwa sana na walimu wamechoka wamefika stage ya no return?Sio kawaida na panapofuka moshi kuna moto so napendekeza hatua za haraka zichukuliwe na uchunguzi ufanyike,walimu wanateseka sana na kuonewa..mtu ukishachoka sana haufikirii properly.unakuwa temporarily insane.
   
Loading...