Amri kwa TBC

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Mimi raia wa Tz kutoka Arusha natoa amri kwa shirika la utangazaji la Taifa TBC kusitisha ratiba za kurusha vipindi vya kawaida na muanze mara moja kurusha yanayoendelea kwenye mafuriko Dar! Watu wanateseka, wanakufa! Rusheni moja kwa moja ili ulimwengu uone taabu zlizopo Tz kwa sasa ili wa kusaidia asaidie on time! Hatuna muda wa kuangalia vpindi vyenu vya ngonjera! STOOOP! Ova.
 
Mkuu, TBC ilikufa Tido alipoondoka. Ni kinyaa sasa kuangalia TBC hata taarifa ya habari. Hakuna siku waliyoonyesha ikakosa kasoro toka Tido alipoondoka.
 
wanaonyesha taraab na fataki. hata jana taarifa ya habari waligusia kidogo kwa juu juu.
 
kwa taarifa za mafuriko sisi tuliopo huku Tanganyika tumezipata zaidi kupitia EATV. Ni aibu kwa chombo cha serikali kurusha taarabu na kuacha suala la kitaifa kwa sasa. Ingekuwa mkutano wa ccm, wangekuwa wanapigana vikumbo kuuonyasha. Shame on you Nchimbi!
 
Mkuu, TBC ilikufa Tido alipoondoka. Ni kinyaa sasa kuangalia TBC hata taarifa ya habari. Hakuna siku waliyoonyesha ikakosa kasoro toka Tido alipoondoka.

Hv ni sumu gan imeikumba ccm? Mbona wana2tesa hv lakin? Hk chombo ni cha ccm or taifa?
 
TBC imeoza na matambo yake imeoza na watendaji wake wameoza kwa hiyo tusitegemee TBC itahabarisha habari za maana zaidi za kufungua visima siku hizi inanitia kinyaa
 
kwa taarifa za mafuriko sisi tuliopo huku Tanganyika tumezipata zaidi kupitia EATV. Ni aibu kwa chombo cha serikali kurusha taarabu na kuacha suala la kitaifa kwa sasa. Ingekuwa mkutano wa ccm, wangekuwa wanapigana vikumbo kuuonyasha. Shame on you Nchimbi!
Mkuu me Tbc hata sioni umuhimu wao,imegeuka kama chombo cha chama sasa,na itv ndio kama tv ya taifa,mwanzoni tbc walikua wanakwenda vizuri,ila toka tido aondoke,mmmh ni kichefuchefu tu
 
Wanashangaza sana hata taarifa za maana huwa wanakatishakatisha tu baada ya hapo unakuta kipindi kinachofuata ni tamthilia,hiv hawa watu wana akili kweli,kuendekeza tamthilia za mapenz na miziki,mi nadhani tv ya taifa inahitaji mabadiliko makubwa huwa naangalia china tv wao wako bize tu na mambo ya maendeleo,mara nyingi huwa habari naipata vizuri huku jf au mliman tv
 
Back
Top Bottom