Rais Kikwete kuhutubia wakazi wa Dar mchana huu Mchikichini, Ilala

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
JK baada ya kuzunguka kwa helikopta kuona mafuriko yaliyowakumba wakazi wa Dar atahutubia wakazi wa jiji hili katika uwanja wa shule ya Mchikichini, Ilala mchana huu.
 
Jjk baada ya kuzunguka kwa helikopta kuona mafuriko yaliyowakumba wakazi wa Dar atahutubia wakazi wa jiji hili katika uwanja wa shule ya Mchikichini, Ilala mchana huu.

You must be kidding??? Yaani watu wako kwenye mafuriko halafu anategemea waende uwanjani kusikiliza hotuba........... kama anataka umati apeleke masufuria ya ubwabwa ili yavute watu wenye njaa. Kama kweli atafanya hivyo itakuwa very wrong move.... Bora ahutubie kupitia Redio na TV.
 
Tupe chanzo cha taarifa. Tupo pamoja Mkuu wa nchi wapo waliosema umeingia mitini.
 
You must be kidding??? Yaani watu wako kwenye mafuriko halafu anategemea waende uwanjani kusikiliza hotuba........... kama anataka umati apeleke masufuria ya ubwabwa ili yavute watu wenye njaa. Kama kweli atafanya hivyo itakuwa very wrong move.... Bora ahutubie kupitia Redio na TV.
Kwanini iwe wrong move? Unaelewa maana ya kufarijiwa? Imagine ni wewe umepata tatizo...halfu RAIS wa nchi anakuja kukupa pole..utajisikiaje? Kuna faraja unayoweza kupata zaidi ya hiyo?
 
kuweni na demokrasia acha udikteta wapo wataokwenda kumsikiliza na ni haki yao kikatiba hata kama wewe na mimi hatutaki kwenda
 
Ni Rais asiyekuwa makini.
Kumbuka kulitokea wafanyakazi wa mgodi kuangukiwa na kifusi nchi Mexico,Rais wa nchi hile alijumuika na waokoaji muda wote pale kwenye mgodi.
Lakini Rais wetu hupo Ikulu nakunywa kahawa ,kasubi maji yamepungua heti anazunguka na helikopta.Katoa msaada gani kwa wananchi wake?
Jana alikuwa wapi?

Rais wetu apendi kupata shida wala karaha na watu wake ,Ongera Rais kwa hilo we kaa Ikulu
kwanini asiutubie Jangwani ?
 
Kwanini iwe wrong move? Unaelewa maana ya kufarijiwa? Imagine ni wewe umepata tatizo...halfu RAIS wa nchi anakuja kukupa pole..utajisikiaje? Kuna faraja unayoweza kupata zaidi ya hiyo?

Rejeo,

Kufarijiana kwenye matatizo ni jambo jema. Lakini siyo nitoke nyumbi kwangu kwenda uwanjani kufarijiwa. Awafuate hukohuko waliko awafariji. Ndiyo maana nimesema ni bora atumie Radio na TV.
 
Kwenye huo mkusanyiko, hakuna tishio la al shabab? Wazee wa 'habari za intelejensia' tujuzeni!
 
Alivyo, anaweza akasema vile vifo ni mpango wa MUNGU.

Hivi ni mpango wa MUNGU WATU WAJENGE MABONDENI? Ni mpango wa Mungu tuwe na sewage system mbovu? Mpango wa Mungu hatukufanya evacuation mbali na kuwa na weather alarm?Mpango wa Mungu kuwa na miundo mbinu uozo?
 
Kwanini iwe wrong move? Unaelewa maana ya kufarijiwa? Imagine ni wewe umepata tatizo...halfu RAIS wa nchi anakuja kukupa pole..utajisikiaje? Kuna faraja unayoweza kupata zaidi ya hiyo?
Wahanga wanahitaji wapatiwe misaada ya kibinadam kama vyakula,madawa,makazi ya dharura,vyandarua etc.Hayo maneno anayoenda kuongea huko hayana tija wakati huu ambapo wahanga wana matatizo makubwa na ya msingi.
 
ile mi helkopta ya chadema wakati wa kuomba kura kwa wananchi iko wapi? ndesamburo alipeleka mingine Loliondo kwa babu kwa nini hakulete na Dar kuokoa wananchi?

Ile mindege ya siku ya maadhimisho 50 iko wapi kusaidiaaa???
 
Kasubiri wenye kufa wafe na kupoteza mali pasipo hata msaada wowote wa serikali ndo sasa anakurupuka kuja kuhutubia je hotuba yake itarudisha hai wa waliokufa? Je mali zilizopoa zitarudi? Amezidi kutuona waTz ni wajinga
 
Back
Top Bottom