Kikwete, hebu kanusha tuhuma hizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete, hebu kanusha tuhuma hizi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Dec 27, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,006
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Kwanza Shikamoo.

  Nilikuwa nazunguka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Lindi na Mtwara, nasikia moja ya kampuni zinazonunua korosho ni yako wewe na
  Riziwani, Eti ndio maana safari hii makampuni mengi yamekataliwa kununua Korosho na badala yake mfumo wa mkopo ndio uliotumika na
  wakulima kuchukua muda mrefu sana kabla ya kulipwa pesa zao.

  Eti mitaani wanasema wewe ndio umempa meno mkuchika hata ya kuweza kuzuia watu wasikusanye korosho kwa mifumo mizuri ambayo
  huwapatia faida kubwa!

  Ni maneno tu yanazungumzwa na karibu kila mtu huku si mimi.

  Eti baba mdogo, ni kweli haya?
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  mbona hujiamini ongea kitu straight. Nitarudi baadae
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,126
  Likes Received: 7,081
  Trophy Points: 280
  Nitarudi hapa,......
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 856
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Andika upya ueleweke. Inawezekana una kitu cha maana unataka kuongea lakini hujakiwakilisha vizuri
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ni kweli na ile skuuli fees yako ndio anaitolea hapo sawa baba kalale salama mkuu iliupate nguvu za kuja kupost na kesho..

  Alamsiki..
   
 6. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kaka huogopi? wenzio tunanong'ona tu.
   
Loading...