Come On Mwanakijii ila Kwa hili Hututendei Haki

Status
Not open for further replies.

Adolf Mark

Member
Nov 4, 2011
50
26
Kama kuna viumbe wa Mwenyezi Mungu ninaoheshimu uwezo wao mkubwa wa kuandika na kuchambua mambo basi ni Mwanakiji. Licha ya hivyo binafsi sikubaliani na tabia ya Mwanakijiji ya kutuanzishia tovuti kisha kuzitelekeza, Mwanakijiji.com, KHL News , na pia CHECHE online Newsletter. Natamka wazi kwa hili Mwanakijiji hatutendei HAKI!


Wasalam, Ilani ya Masikini ni vita dhidi ya ufisadi, lakini matajiri ilani yao ni vita ya Mengi vs Manji
 
Nafikiri kwa jinsi alivyo muungwana hatoshindwa kutoa maelezo ni kwanini imetokea kuwa hivyo ilivyo.
 
Watu wanadai "haki" kama wamelipia au kuingia mkataba vile.

On the other hand, ukijitangaza kutoa huduma, watu hata kama hawakulipi fedha, wanakulipa kwa attention (wenzetu wanasema wana "pay attention") kuwakatisha bila maelezo si uungwana.

Mtoa mada hana "haki" ya kupata hizi habari na Mwanakijiji hakufanya uungwana kama kaondoka bila taarifa.
 
Kwani yeye hakimu hata awe mtenda haki. Ukitaka "haki sawa kwa wote" hamia CUF.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom