Barabara mbovu kuliko maelezo kuanzia maeneo ya Nyamwage baada ya kuvuka daraja la Mkapa, ina mashimo ya ajabu kama una wazo la kusafiri na gari dogo e.g opa, noah etc ondoa ilo wazo otherwise...
kupita ccm mbio za urais 2015 kati ya hawa nani angalau ataleta matumaini kwa wananchi na wanachama wa ccm na wasiowanachama??
1.salim ahmed salim
2.magufuli
3.membe
4.migiro
5.lowasa
6.sita
Ninapomkumbuka Mtunzi huyu ambaye ni marehemu huwa nahuzunika sana.
Ni kielelezo cha vile kalamu ya mwandishi wa Riwaya anavyotakiwa kuwa.
Hakuandika bora ameandika, alifanya utafiti na akajua...
Jamani Bima ya Afya wananikera sana yaani toka nimeomba kupewa kadi sasa ni mwezi wa saba hawajanitengenezea wakati kwenye mshahara hela yao wananikata. Mbona huu ni wizi wa mchana kweupe au...
Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na jumuiya ya wafanyabiashara wa jijini Mwanza imewazawadia zaidi ya Shilingi milioni 11 askari polisi tisa waliowaua majambazi watano waliovamia duka la...
msako uliofanywa kitivo cha Elimu na kitivo cha sayansi ya jamii.,sanaa na lugha ulipelekea kuwatia nguvuni vijana kumi...ambao ni
Kitivo cha Elimu
Josephu jona(27
Mwakasitu ikwisa(29
Hamisi...
Mipira ya Kondomu
Polisi wa Zimbabwe wanaamini kuna mtindo wa wanawake kuwabaka wanaume Zimbabwe , ili kutumia mbegu zao za kiume katika ushirikina kujitajirisha.
Imechukuwa zaidi ya mwaka mmoja...
Mh! Kweli sikuu ni siku ya kumuasi Muumba? Jana na leo amri ile ya sita inabanjuliwa tu! Tena wengine hadharani,kwenye magari na sasa guest house vyumba vimejaa. Huu uchafu unaofanyika kweli...
Naomba niwakumbushe wanamikakati ya kisiasa ( political strategists) wa chadema juu ya hili.
Chama chochote cha kisiasa kinacholenga kuchuku uongozi wa dola lazima kipitie hatua kuu mbili za...
baada ya sikuku, naaomba tuendelee na jitihada za ukombozi.
ingawa ni mara chache sana huwa napost topic but, kila siku lazima nipite na kuona nchi inaendaje kwani jf ni zaidi ya chombo chochote...
Kila kosa au amri lina/ina adhabu yake,kwa mujibu wa sheria. Wakati Mungu akiumba dunia hakukuwa na sheria au amri kwa mujibu wa maandiko(bibilia). Amri ya kwanza kabisa duniani ni USILE TUNDA LA...
Ikiwa ni takribani siku nne tu kupita baada ya vyombo vya habari kuandika na kutangaza tukio la wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma kitivo cha Elimu kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa...
Huenda hujakutana nayo,lakini ni juzi tu tulikuwa na jamaa tunajadiri,rushwa iko kila kona,mahakamani,police,barabarani(trafic),hospitari,ofisi za huduma za kiserikali,n.k.je,pccb wanaweza maliza...
Wanajamvi kama kuna mtu yupo maeneo ya suka kabla haujafika suka kituoni kama unatokea ubungo kuna ajari mbaya imetokea.
Watu wengi sana wamejaa na inavyo onyesha ajari hiyo imemuhusisha dereva...
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.