Kwa nini raisi wetu hatembelewi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini raisi wetu hatembelewi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chakunyuma, Dec 27, 2011.

 1. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo.
  Watu ni wengi pia samahani kwa kuwa title lilikuwa tufauti na maelezo lakini nimerekebisha.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hujaeleweka
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shibuda anasema CDM ni mbadala wa ccm na dawa ya mafisadi. Kaongea mengi siwezi kuandika yote lakini nitajitahidi.
   
 4. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Title naona halitaki kubadilika ila ninatakiwa kusomeka hivi: kuna mkutano wa chadema stendi mpya Shinyanga.
  Ila nipoona halibadiliki nimeanzisha thread nyingine yenye kichwa sahihi. Samahani kwa usumbufu.
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wewe ni Muandishi? Raisi hatembelewi Tulishaijadili hiyo....
   
 6. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimesema samahani kwa usumbufu nimpost tena.
   
Loading...