Hivi kuna nini?

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
225
hi wana jf? hii wizara ya elimu mbona hawatoi maelezo yoyote kuhusu lini itaajiri walimu wapya? watu watunakaa mtaani bila kazi waseme kama vipi watu tukatafute kwingine kwa mfano walimu wa mwaka jana waliajiriwa mwaka huu,walikaa mwaka mzima mtaani
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Bajeti imefika kikomo. Serikali inashughulikia kwanza swala la umeme, ajira baadae.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom